Nyakati za kufanya mapenzi.............Mh!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyakati za kufanya mapenzi.............Mh!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sajenti, Jun 18, 2010.

 1. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Wana-JF najua wikiendi ndio inakaribia ni imani yangu hili nalo lina nafasi yake katika mchakato mzima wa kuitafuna hiyo wikiendi. Ni wazi kila mtu ana utashi na kwa wakati wake anajisikia kupata raha ya mapenzi, lakini kwangu imekuwa tofauti. Mamsampu amenishauri kuwa yeye hujisikia raha sana kama game tukilipiga muda ule wa kawaida wa kwenda kulala. Yaani baada ya kupata dinner, tumeangalia runinga na mengineyo kuanzia saa 4 mpaka 5 usiku kitu ambacho mi kwa mtazamo wangu naona sio ukizingatia watu mnakuwa mmechoka baada ya pilika za kutwa nzima. Nimemshauri game tulichape ile alfajiri kabla hatujaamka kujiandaa kwenda vibaruani. Ukizingatia mnakuwa mmepumzika na ile baridi ya alfajirinakuwa mswano!. Najua kuna watakaouliza kwani siku zote tulikuwa tunafanya wakati gani hilo niachieni mwenyewe!!!:eek2::eek2::eek2::lol:
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Sajenti na wewe.....hayo ni maamuzi yenu
   
 3. T

  Tall JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  1.usifanye kosa,mpe usiku wakati anapotaka yeye.......kwa vile kwanza atafaidi na kutosheka haraka.
  2.kuna wengine usingizi hauji hadi apate dozi,utamfanya mwenzio asipate usingizi sawasawa.
  3.mara nyingi mechi za asubuhi sio nzuri sana pamoja na kuwa kuna ka ubaridi,labda jioni muwe mlilewa sana.mechi za asubuhi huwaacha na uchovu fulani hapo ofisini kazi itaendaje?????
  4.asubuhi na wewe unaweza kuomba mechi,itafika mahala wote mtazoea mechi 2 kwa kila siku asubuhi na jioni.....ubavu unao?
  5.sisi wanaume wakati wote tupo fit...lakini wenzetu akina mama siyo saa zote wanataka.hivyo ikitokea muda huo anataka usifanye ajizi, acha kila kitu ulichokuwa unafanya wajibika........ni mawazo yangu. hapo shem atakupenda sana na amini usiamini hana haja ya mwanamme mwingine.
   
 4. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  fanyenyi muda wowote mnaotaka na kwa syle yoyote ruksa
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ha ha ha ha!
  long live infidelity!ile maanake hata kwenye gari
   
 6. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2010
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Any time is tea time
   
 7. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Utawajua kwa magamba yao....
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,099
  Likes Received: 24,111
  Trophy Points: 280
  Askofu chunga kondoo wako vema. Mchungaji niko kwenye semina ya ukusanyaji matoleo, sadaka, fungu la kumi na zaka.
   
 9. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  rrrrrrrrrrrrrrrrrrraaaaaaaaaaaaah!
  rrrrrrrrrrrrrrrrrrraaaaaaaaaaaaah!

  twnde zetukwenye sredi ya germany vs serbia!UNAJUA HAPA OFISI NISHALIMWA BARUA YA WARNING
   
 10. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Kula wakati wowote bana
   
 11. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #11
  Jun 18, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Nishaghairi hiyo offer aisee... (zitaishia kwa akina Eliza)
   
 12. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #12
  Jun 18, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Huchoki kujipangusa.... (leftovers)
   
 13. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Mh! wakati mwingine unaweza kupewa kwa shingo upande mtu anadai leo hajisikii wakati mzee mzima ndi o niko fulu mzuka mwanawane!!! kimbembe hapo!!
   
 14. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #14
  Jun 18, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Vibaya kukomba mboga au sio?? niliwahi kufululiza siku 24 za mwezi nikatoa zile siku za kukaribisha wageni tu we acha bana unaweza kukuta siku nyingie uko peke yako kitandani...!
   
 15. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #15
  Jun 18, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  ile kitu haina muda.. Unakula wakati wowote...
   
 16. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #16
  Jun 18, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  "Tamu ya Mchuzi wa Mbwa ni kuunywa Moto, ukipoa haunyweki" na " Nyege kunyegezana". Piga game wakati na mahala popote mkulu.
   
 17. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #17
  Jun 18, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mda wowote mnapojisia wote wawili, kama mwenzio ajisikii kwa wakati huo jaribu kuzitafuta zilikojificha ili mfurahie wote
   
 18. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #18
  Jun 18, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ..Nimekupata mazee....:hail:
   
 19. J

  JituParaTupu Member

  #19
  Jun 18, 2010
  Joined: Nov 20, 2008
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wakuu,
  Mie siwadanganyi...napenda game mida ile naingia home toka kazini...yaani saa 12 jioni. Halafu tena kabla ya kulala kwenye saa 5 usiku. Na alfajiri kabla hatujaacha kitanda...ni mara tatu kwa wiki...najisikiaga fresh sana hata mamsap anasapoti sana ratiba hii. Cha msingi ni muda ambao wote mtaupenda na ku-enjoy!
   
 20. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #20
  Jun 18, 2010
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  sasa mnkauwa na katimetable ka hizo siku tatu kwa wiki ama inakuwaje...... mmmm vitanda vina habari,,,,vingeweza kuzungumza tu...dunia ingeisha abruptly!!
   
Loading...