sasa hivi aggrey yupo mchina mmoja ana kifaa cha kutolea hizo glass salama bila kutumia njia za kienyeji, sifahamu ofisi zake zilipo ila ukimuuliza dalali yoyote pale aggrey atakusaidia.
pia unaweza ukabadili hio battery, simu ya non removable haimaanishi battery haibadilishiki, bali humaanisha ni ngumu kwa mtu wa kawaida kubadilisha.
sema kuwa makini, simu kama hizo kuharibika ni rahisi, usiende kwa fundi akaenda kuongeza matatizo mengine.