Nusu nifumaniwe na mume wake

Mkuu unajua maana ya self respect na self worth?
Unathubutu vipi mwanaume kujifikiria kitu cha kushusha uanaume wako na kudharirisha kama hivyo achia mbali kuandika humu?

Katika matusi makubwa yote unayoweza kumtukana mwanaume duniani hilo limevuka mipaka na inaweza pelekea ugomvi mkubwa mpaka kifo, nadhani aliyesema binadamu hatufanani hakukosea. ni maoni yangu tu hata hivyo.
 
Mkuu unajua maana ya self respect na self worth?
Unathubutu vipi mwanaume kujifikiria kitu cha kushusha uanaume wako na kudharirisha kama hivyo achia mbali kuandika humu?.
Mkuu, sijafikiria! Ndo mchezo ulivyokuwa, nimeandika ili iwe tahadhari kwa wanaume wengine wanaotembea na wake za watu, wajifunze kupitia hiki kisa ili ky zisije kuwahusu! [emoji28]
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…