Nusu nifumaniwe na mume wake

Duuuh mjomba jegejo kashafanya yake.
 
Mkuu sema tu ukweli mimi ni therapist nitakusaidia

Hicho kitendo wahanga wengi memory zao zinakuwa blocked wanakuwa kwenye denial
 
Mkuu una visa na majanga kila siku unatupa uzi mpya daadeki haipiti siku unatukio
 
[emoji23][emoji23][emoji23] na baridi hili chai inasaidia kwa moto ilionao
 
Subiri uoe wa kwako! Atafanywa na mwanaume kama ulivyofanya mke wa mtu hata kumsababishia kipigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…