DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,470
Semi-final: Simba vs Stellenbosch
Zamalek wameikimbia Simba.
Nilishawahi kusema Stellenbosch ni timu ngumu sana, maandalizi yaanze. Pia Fadlu aangaliwe vizuri asije akaleta mambo ya familia.
Simba kuanza tena ugenini na kumalizia nyumbani. Hii advantage tusiichezee tena.