Nusrat Jahan Rafi, 19-year-old Bangladesh girl set on fire after accusing headteacher of sex assault

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Tukio la kifo cha Nusrat Jahan Rafi(19) ambaye kifo chake kimesababishwa na kuchomwa moto kutokana na kuripoti Polisi unyanyasaji wa kingono aliofanyiwa, limeibua maandamano yanayotaka haki zaidi itendeke

Nasrat aliyekuwa anasoma katika shule ya Kiislamu, Madrassa, mnamo Machi 27, 2019 alitoka akikimbia kutoka kwenye ofisi ya Mwalimu Mkuu wake baada ya Mwalimu huyo kumuita na kudaiwa kuanza kumshika mara kadhaa katika hali isiyo ya kawaida na yenye nidhamu

Kwa kushirikiana na familia yake, Nasrat alienda Polisi kuripoti tukio hilo ambapo inaelezwa alihojiwa na Askari aliyekuwa akimchukua video(Iliyovuja baadaye) kwenye simu ingawa Nasrat alijaribu kuificha sura yake kwa mikono, Askari huyo alikuwa akimtoa mikono na kumwambia "haina matatizo"

Siku 11 baadaye, Aprili 06, Nasrat alienda shuleni kwa ajili ya kufanya mtihani, lakini Mwanafunzi mwenzake mmoja alimpeleka hadi ghorofa ya mwisho akidai anaomba msaada maana rafiki yake anapigwa na Wanafunzi wenzake

Kwa mujibu wa taarifa ya Nasrat aliyoitoa akiwa mahututi kabla ya kufariki alisema baada ya kufika ghorofani alizingirwa na Watu wanne au watano waliokuwa wakimtaka afute kesi yake dhidi ya Mwalimu Mkuu, alikaata na ndipo watu hao walipomwagia mafuta ya taa na kumchoma moto

Alipofikishwa hospitalini alifariki dunia kutokana na asilimia 80 ya mwili wake kuungua. Hadi sasa Mwalimu Mkuu pamoja na watu wengine 15 wanashikiliwa Polisi kuhusiana na tukil hilo huku uchunguzi ukiendelea

TELEMMGLPICT000194576777-xxlarge_trans_NvBQzQNjv4BqY4-XNG_7v-V2jIZ3ghNYKBsWhjO-E44eGxF1VHV3vlw.jpeg

======


The horrific death of a young student who was burned alive after she reported sexual assault allegations to the police has sparked protests in Bangladesh to demand more justice for women.

Nusrat Jahan Rafi, 19, who was from Feni, 100 miles south of the capital Dhaka, was tricked into going onto a rooftop at her madrassa, or school, on April 6, where at least four people doused her in kerosene and set her alight, reported Human Rights Watch.

She was attacked for refusing to back down from an earlier allegation of an attempted sexual assault against her headmaster. She died four days later from burns covering 80 percent of her body.

“The horrifying murder of a brave woman who sought justice shows how badly the Bangladesh government has failed victims of sexual assault,” said Meenakshi Ganguly, HRW’s South Asia director.

“Nusrat Jahan Rafi’s death highlights the need for the Bangladesh government to take survivors of sexual assault seriously and ensure that they can safely seek a legal remedy and be protected from retaliation.”

The police handling of her case has compounded public anger. A video of Ms Rafi filing the assault case reportedly shows a police officer telling her that the incident was “not a big deal”.

TELEMMGLPICT000194576850_trans++ek9vKm18v_rkIPH9w2GMNoGXySPv9M1Jbe0Fc3Bi1Fk.jpeg


According to the BBC, she appears distressed, trying to cover her face with her hands.

The video was later leaked to the local media. Death threats ensued and the pressure to withdraw the complaint worsened after the headmaster was arrested.

On April 11, as she tried to enter her school to sit her final exams, she was lured to the roof and surrounded by four people wearing burkas, demanding that she renounce her accusations.

She refused and they set her on fire, attempting to make it look like suicide. But in a final defiant stand as she succumbed to her injuries, she recorded a message on her brother’s phone. “The teacher touched me, I will fight this crime until my last breath,” she said.

The brutal case shocked Bangladesh to its core. Sheikh Hasina, the prime minister, expressed deep sorrow over her death and personally ordered law enforcement agencies to find the perpetrators and take punitive action.

To date, 15 people have reportedly been arrested, seven of them allegedly involved in the murder, and one has confessed. The headmaster remains in custody and the police officer who filmed Ms Rafi has been removed from his post and transferred to another department.

However, human rights groups say Ms Rafi’s case highlights a wider problem of the ongoing vulnerability of women who suffer sexual harassment in the conservative South Asia country, and who are targetted when they brave social stigmas to speak out.

TELEMMGLPICT000194576859_trans++ek9vKm18v_rkIPH9w2GMNoGXySPv9M1Jbe0Fc3Bi1Fk.jpeg


Ms Rafi’s tragedy is not an isolated incident, giving rise to scepticism about the authorities’ record in prosecuting sexual violence cases.

Human Rights Watch noted that the murder occurred close to the fourth anniversary of a case of mass sexual harassment of at least 20 women during Bengali New Year celebrations at Dhaka University in 2015. There has been little progress on their court case.

According to Ain O Salish Kendra, a Bangladeshi human rights organisation, there were over 700 cases of rape reported in 2018, but the actual numbers are likely to be higher given the fear of many victims of being shamed and humiliated.

“Nusrat Jahan Rafi’s cruel death is a sobering reminder of the pervasive risk of sexual violence that is faced by Bangladeshi women and girls,” said Meenakshi Ganguly.

“The government should ensure justice for her family, urgently put legal protections in place to prevent sexual assault, and provide effective protections to survivors.”
 
Utakuta eti hao vijana wahuni wamepitia madrasa kufundishwa "Dini" na hayo ndio matendo wanayofanya.

Watu waliokaririshwa eti kuna dini humu duniani inayotoa ticket ya kuendea peponi sijui ahera ni wagonjwa wa akili. Watasubiri sana na siku watakapojitambua watajikuta wako motoni na ibilisi. It's very awkward indeed.
 
Utakuta eti hao vijana wahuni wamepitia madrasa kufundishwa "Dini" na hayo ndio matendo wanayofanya.

Watu waliokaririshwa eti kuna dini humu duniani inayotoa ticket ya kuendea peponi sijui ahera ni wagonjwa wa akili. Watasubiri sana na siku watakapojitambua watajikuta wako motoni na ibilisi. It's very awkward indeed.
Mbona mkuu unahukumu kosa la mmoja kwa wote?? MJA MWEMA NI YULE ANAEMCHA MWENYEZIMUNGU
 
Ningekuwa ndugu na marehem, ningemsamehe mwalimu akiwa kwenye mikono ya polisi, ila siku akiwa huru angetamani kurudi sero hata kma kifungo kimeisha.

Hatuwezi potezeana ndugu simple namna hii, ukizingatia tuendako hatijui kuwa tutaonana au hatutaonana.
 
Utakuta eti hao vijana wahuni wamepitia madrasa kufundishwa "Dini" na hayo ndio matendo wanayofanya.

Watu waliokaririshwa eti kuna dini humu duniani inayotoa ticket ya kuendea peponi sijui ahera ni wagonjwa wa akili. Watasubiri sana na siku watakapojitambua watajikuta wako motoni na ibilisi. It's very awkward indeed.
Ulichoandika hakiendani kabisa na dini lengo wagawe watu kwa kutete dini zao, madala kujadili tukio. Waliopo masikitini na makanisani ni watu na wanaudhaifu. Wale matendo yao hawakilishi imani zao.

Ukiangalia Tanzania yetu hii, watu wa imani gani hawashiriki dhambi, Uzinzi kila kona watu wanajiuza na wananunua, unadhani ni wapagani wale.

Kwenda peponi au kwenda mbinguni ama kuuona uflume wa mbinguni, ipo ila inategemea matendo yako, bila kujali unatendea msikitini, kanisani nje ya Maeneo hayo.

Ndugu yangu Mungu atahukumu wote bila kujali imani yako, haiwezekani eti sababu tu wewe ni muumini wa imani fulani, basi hauna dhambi.

Utaulizwa kupitia imani yako hiyo hiyo, mbona uliyo agizwa ufanye hujafanya. Mungu unadhani ameshindwa kuwafanya binadamu wasimjue kabisa, ama wote kuwa wa iman moja, ila amaamua iwe hivi.
 
Back
Top Bottom