Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,522
Pesa Yake tuWajumbe watampitisha ..??
Atoe pesa tuWewe unafikiri CCM Ni wajinga
Kupitia chama gani. Au ChaumaMheshimiwa Nusrat kwa namna anavyokubalika Ikungi. Kura zote ni kwake Tu. Kidumu Chama Chetu
Kikubwa pesaKupitia chama gani. Au Chauma
No Reform no electionMheshimiwa Nusrat kwa namna anavyokubalika Ikungi. Kura zote ni kwake Tu. Kidumu Chama Chetu
Ameona fursaHawawezi mpigisha wakati wako watu wamekipigania chama kwa muda mrefu alafu ajee apitishwe tu kijinga
Tutakuwepo 😁Ameona fursa
OkayTutakuwepo 😁
Imeisha hiyoMheshimiwa Nusrat kwa namna anavyokubalika duniani. Kura zote ni kwake Tu. Kidumu Chama Chetu
Wanaccm wa jimbo hilo wamekosa mtu hadi wamptishe mamluki kuwawakilisha.Mheshimiwa Nusrat kwa namna anavyokubalika duniani. Kura zote ni kwake Tu. Kidumu Chama Chetu