F frictional Member Joined Aug 2, 2015 Posts 20 Reaction score 0 Sep 30, 2015 #1 Naomba kuuliza wana jf kati ya hizi kozi mbili ni ipi iko vizuri kimaslahi.?Naombeni wenu ushauri wana JF.
Naomba kuuliza wana jf kati ya hizi kozi mbili ni ipi iko vizuri kimaslahi.?Naombeni wenu ushauri wana JF.
dakitare Member Joined Aug 22, 2015 Posts 52 Reaction score 8 Sep 30, 2015 #2 Interm of salary zote ziko sawa, ila ukiingia katika posho, semina na malupulupu mengine, nursing iko juu.
Interm of salary zote ziko sawa, ila ukiingia katika posho, semina na malupulupu mengine, nursing iko juu.
Erickson0708 JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 207 Reaction score 34 Sep 30, 2015 #4 Mhhhh mm sielew kitu ngoja nisubir kusoma comment za watu