Wala usiumize kichwa sana kaka. Hii ni Application tu kama zilivyo Apps nyingine, ambayo utaidownload a kuinstall katika Play Store ya Simu yako ya Android. Sasa ukisha download, itakusaidia kujua perfomance ya Simu yako. Inapima "Memory Performance", "CPU Integer Performance", "CPU Floating Point Performance", "2D 3D Graphics Performance", "SD card read-write speed", "Database IO" performance testing.
Hadi sasa Samsung Galaxy Note 3 ndio kinara wa score, ana 35165, akifuatiwa na Sony Xperia Z Ultra mwenye 34363. List Hii hapa:
samsung
Samsung Galaxy Note3
Score:35165
NO.1
Sony
Sony Xperia Z Ultra
Score:34363
NO.2
Sony
Sony Xperia Z1
Score:32984
NO.3
HTC
HTC One X
Score:14022
NO.4
HTC
HTC ONE
Score:26556
NO.5
HTC
HTC One S
Score:10644
NO.6
LG
LG Optimus G2x
Score:7108
NO.7
LG
LG Optimus 4X HD
Score:14297
NO.8
Kwahiyo simu zinatofautiana scores kutokana na uwezo wake. Na simu za aina moja, Mfano Galaxy S3 zoote, zitafanana. Iwapo sasa ukakutana na S3 clone au mchina, lazima itatofautiana izo score na wewe utaweza jua kua hii ni fake.
Nadhani umenielewa kidogo. Cha ku-note ni kua, Antutu Benchmark ni Application sio kufaa, unaidownload katika simu yako ya Android, inapima uwezo wa simu yako na simu jamii yako, na sio kwamba simu ya bei kubwa ndio ina score kubwa, hapana.[/QU
UNAHITAJI SIMU AU UNATANGAZA YAKO KWENYE THREAD HII??
Wala usiumize kichwa sana kaka. Hii ni Application tu kama zilivyo Apps nyingine, ambayo utaidownload a kuinstall katika Play Store ya Simu yako ya Android. Sasa ukisha download, itakusaidia kujua perfomance ya Simu yako. Inapima "Memory Performance", "CPU Integer Performance", "CPU Floating Point Performance", "2D 3D Graphics Performance", "SD card read-write speed", "Database IO" performance testing.
Hadi sasa Samsung Galaxy Note 3 ndio kinara wa score, ana 35165, akifuatiwa na Sony Xperia Z Ultra mwenye 34363. List Hii hapa:
samsung
Samsung Galaxy Note3
Score:35165
NO.1
Sony
Sony Xperia Z Ultra
Score:34363
NO.2
Sony
Sony Xperia Z1
Score:32984
NO.3
HTC
HTC One X
Score:14022
NO.4
HTC
HTC ONE
Score:26556
NO.5
HTC
HTC One S
Score:10644
NO.6
LG
LG Optimus G2x
Score:7108
NO.7
LG
LG Optimus 4X HD
Score:14297
NO.8
Kwahiyo simu zinatofautiana scores kutokana na uwezo wake. Na simu za aina moja, Mfano Galaxy S3 zoote, zitafanana. Iwapo sasa ukakutana na S3 clone au mchina, lazima itatofautiana izo score na wewe utaweza jua kua hii ni fake.
Nadhani umenielewa kidogo. Cha ku-note ni kua, Antutu Benchmark ni Application sio kufaa, unaidownload katika simu yako ya Android, inapima uwezo wa simu yako na simu jamii yako, na sio kwamba simu ya bei kubwa ndio ina score kubwa, hapana.
Aiii wewe galaxy haipungui zaidi ya hapo?.. laki 4 plzzz