Nunua pikipiki aina ya boxer kwa bei rahisi

ELIMU PESA

Member
Joined
Jul 22, 2017
Posts
62
Reaction score
36
Pikipiki aina ya boxer kama inavyoonekana katika picha inauzwa kwa kiasi cha shilingi laki tano na nusu tu (550,000/=). Pikipiki ni nzima.
Ipo Dar salaam maeneo ya Tabata Magengeni.
Kwa mawasiliano na mazungumzo, tumia namba hizi:
0769074635 AU 0712394385
ASANTE!
 
Attachments

  • IMG_20180221_131050.jpg
    IMG_20180221_131050.jpg
    115.1 KB · Views: 121
  • IMG_20180221_131104.jpg
    IMG_20180221_131104.jpg
    120 KB · Views: 122
Pikipiki aina ya boxer kama inavyoonekana katika picha inauzwa kwa kiasi cha shilingi laki tano na nusu tu (550,000/=). Pikipiki ni nzima.
Ipo Dar salaam maeneo ya Tabata Magengeni.
Kwa mawasiliano na mazungumzo, tumia namba hizi:
0769074635 AU 0653868062.
ASANTE!
Haijapigwa mahali aisee tukaja kuangushiana Jumba bovu?
 
Utakapoiona, ukaona vibali, ukakutana na muhusika, taratibu za mauziano zikafanyika.... utakuwa assured kuwa mzigo ni salama.
 
Wabongo bhn ukiwaeke ela kubwa malalamiko kibao kama watoto wa kambo bei chee bado maswal kibao kama mpo mahakaman
 
Pikipiki aina ya boxer kama inavyoonekana katika picha inauzwa kwa kiasi cha shilingi laki tano na nusu tu (550,000/=). Pikipiki ni nzima.
Ipo Dar salaam maeneo ya Tabata Magengeni.
Kwa mawasiliano na mazungumzo, tumia namba hizi:
0769074635 AU 0653868062.
ASANTE!
Hii bado ipo mkuu?
 
Pikipiki aina ya boxer kama inavyoonekana katika picha inauzwa kwa kiasi cha shilingi laki tano na nusu tu (550,000/=). Pikipiki ni nzima.
Ipo Dar salaam maeneo ya Tabata Magengeni.
Kwa mawasiliano na mazungumzo, tumia namba hizi:
0769074635 AU 0712394385
ASANTE!
chombo no C, bei nzuri sana
 
Nilidhani watu watakuwa wa kwanza kuuliza kwann bado ina namba za gari na haina MC ila naona hakuna aliestukia.

Sasa mimi naitaka ila cha kwanza tukubaliane unibadilishie mwenyewe hizo namba za gari kuja za kisasa za MC
Kisha ndio tuuziane chombo
 
Back
Top Bottom