Nyumba inauzwa IPO kongowe kwa Pius karibu na st Pius high school,nyumba ya mbele ina vyumba vitatu vya kulala,kimoja ni self,sebule,jiko na stoo!pia ina nyumba ndogo ya uani ina vyumba vitatu kimoja ni self,!nyumba IPO kibiashara zaidi ina wapangaji wawili,kama unapenda biashara za kupangisha nyumba hii inafaa zaidi,lkn hata kwa mnunuaji anaweza kuweka makazi pia,faida utaipata Mara mbili kwa sababu hilo eneo robo Tatu limenunuliwa na TRH na Hapo kulipobakia tangazo limepita tayari TRH wanapahitaji pia wanunue,mwenye nyumba anauza kwa sababu anamatatizo anahitaji kuyatatua,nyumba haina hati,gari haifiki inaishia jirani.bei ni 50m maelewano yapo! Mawasiliano no 0759258748.karibuni.