mavado
JF-Expert Member
- Jun 25, 2014
- 1,153
- 801
Hii ni kampuni mpya ndani ya Tanzania ya kuuza used car from Japan, jamaa wako makini sana na magari yao. Unachagua gari utakayo then ndani ya 25 days, unakamata funguo zako na vilevile wako very cheap but so quality cars. Office zao ziko quality center Nyerere road. Contact 0767328063 for well maintained car and affordable.