Nunua bidhaa hizi unufaike

Ommylady

Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
23
Reaction score
4
Nunua bidhaa hizi kutoka moja kwa moja kwenye kampuni kwa ajili ya matumizi binafsi au kwa ajili ya biashara na ulipwe kila mwezi kulingana na manunuzi yako, bidhaa hizo ni lotion, powder,perfume, deodorant,lipstick, sabuni za kuogea, dawa za meno,rangi za kucha nk, Ofisi ipo dar wa mikoani pia inawezekana.
 
Maelezooo hayajitosholezi. Hufai, au tuseme Marketing sio fani yako.

Kwa staili hii ya Matangazo, humpati mtu. Hata picha basi ya kutudanganya nayo hamna.

Mm nnapita tu. Tu subirii wengine.

HALIDI biashara yenyewe inamaliza Kama Foreva/GLND/Dynapharm na OriFlem.
 

Weka picha, bei, vinapatikana wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…