msaada wakuu..kuna galaxy note 2 hapa haiwez ku acces mtandao inaandka no service. Na kwa upande wa IMEI nikijarbu inaleta null IMEI. msaada wakuu jinsi ya ku solve hili tatizo.
Thanks.
kuna uzi mmoja una solution ila siuni jaribu njia ya hapo juu ikishindikana tutaangalia alternative nyengine[/QUO
mkuu nimejarbu hyo njia ila naona napata menyu tofaut kidogo..na kuna baadh ya hzo code haz function.