Nukuu ya Heche John

Mbona umechagua wa kuwafukuza wengine umewaacha.
 
unazungumzaje kuhusu demotion au promotion nini kilistahili
kwa mtu aliyekutwa na vielelezo vya kumtukana ama kupanga wazi kumhujumu katibu mkuu wa chama?
 

ndio maana kumbe hata chekechea nao siku hizi wanavaa JOHO maana zamani mwenye joho alijali siku zijazo na wala si misukumo ya tumbo lake na kutetea historia mbovu kwa maslahi ya wachache kama akina SOCRATES wangepata majoho kwa maslahi binafsi sidhani kama tungewakumbuka!!!!!
 

zero brain
 
Ikithibika kuwa anakosa sharti aadhibiwe. Demotion ni mojawapo ya adhabu kati ya adhabu nyingi zinazoweza kutolewa mfano kutogombea nafasi yoyote ya uongozi kwa kipindi fulani, kupewa faini ya kiasi kadhaa na pesa hizo zikatumika kuinua chama nk. Sikatai mwanachama kupewa adhabu, lakini nakataa kuwafukuza wanachama kwa kila kosa.

Pili maamuzi haya yanatakiwa yasemwe wazi kwenye katiba ya chama ni makosa gani ambayo mwanachama anaweza kufukuzwa na yale anayoweza kupewa adhabu tofauti na kufukuzwa.

CHADEMA msijisahau sana kuwa Dr. Slaa ni matunda ya siasa za ubinafsi ndani ya CCM, leo hii Dr. Slaa amegeuka shubiri kwa CCM. Historia inakawaida ya kujirudia, hawa wanaofukuzwa kwa sababu iwayo yote aweza kugeuka mwiba kwa chama baadaye.Tusubiri tutaona tu, lisemwalo lipo na kama halipo leo litakuja.
unazungumzaje kuhusu demotion au promotion nini kilistahili kwa mtu aliyekutwa na vielelezo vya kumtukana ama kupanga wazi kumhujumu katibu mkuu wa chama?
 
si walisema hawawezi kufukuzika ukipenda fuata katiba miongozo na taratibu kama hupendi fanya utakavyo
 
Mimi nasubiri vita ya ubunge Tarime Heche na Waitara.
 
si kila aliyeondoka kwenye chama flani anaweza k

uleta madhara kama unavyofikiria hata wahalifu wasipochukuliwa hatua basi hata walio wema watajifunza uhalifu
 
- Dih! Kidumu chama tawala CCM! CCM Hoyeeeeee!!

le mutuz

Yani hili LIBABA lizima eti limepewa kazi ya kujibu hoja za mamilioni ya vijana wapenzi wa CHADEMA na hivi ndio linajibu hoja kweli ANGUKO LA CCM ni wazi sasa limeshafika.
 
- Dih! Kidumu chama tawala CCM! CCM Hoyeeeeee!!

le mutuz

Kuna Wakati (Akili Za Kitoto) Nilikuwa nafikiri mamtu manene, yenye mibichwa mikubwa, mishavu mikubwa na sifa sinazoendena na hizo wanaakili sana. Nilipojielimisha nikagundua kwamba Virtuosity/Kuvimba bila utaratibu ni namna nyingine ya kuonyesha ujinga/upumbavu wa hali ya juu wa mtu.
 
Hawa vijana wa CDM wameonyesha njia tuwapongeze sana. Hakuna nchi yenye maendeleo leo hii duniani kwa kucheka na watu wanaopewa dhamana ya uongozi halafu wakaenda kinyume na taratibu, miongozo, kanuni za uongozi/utawala uwe ni wa chama, taasisi, serikali, mtaa, kijiji, tarafa n.k wakabaki salama hata kidogo. Hongereni sana BAVICHA mnaenda vizuri mungu awabariki nasi tutaiga mfano wenu wa uwajibikaji kwa maslahi ya taifa letu Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…