Kama namuona shilole jinsi atakavyotokwa povu.Ndoa nazo za wasanii huwa ni za mwendokasi kesho na kesho kutwa utawakuta wanaanikana kwa shigongo.
Ila mie nawaombea heri na baraka tele katika safari yao
Kila laheri aisee!. Hatua ya mwisho kabla ya kukutwa na umauti, hongera sana dogo. Napenda sana jinsi waislam wanavyofunga ndoa......natamani nijitoe ufahamu nami nimtafute shekhe anifungishe japo mm ni christian