NUCLEAR WEAPONS

Mtaalam Pius Ngw'andu alikuwa ni mtaalam wa Biology na sio Physics na alistaafia Australia Kama sikosei.
Kumbuka alikuwa katika jopo la watu sita duniani waliokuwa katika kitengo cha Atomic duniani.
 
Nimekuelewa mkuu
 
Hapa umemaliza kiongozi 🀣🀣🀣
Hii physics ya matumizi ya pendulum hapa tutadanganyana tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
... kila mwaka tangu uhuru swali la simple pendulum lipo kwenye mitihani ya NECTA, F.4. Yaani swali alilofanya babu hadi mjukuu analifanya vilevile bila mabadiliko yoyote; hata kubuni maswali mengine ya kuchangamsha akili kuendana na mabadiliko ya nyakati huo uwezo hatuna halafu tunategemea tutoboe! Kivipi?
 
Kitabu ametumia baba yako unashangaa mpaka wajukuu wanatumia πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
... kwa hiyo kuna uwezekano hata rubani atakayedondosha bomu la nyuklia la sasa naye akayeyukia huko huko angani au? Kama hayo madude ni hatari kwa kiwango hicho hivi ni ya kazi gani?
Ndio maana wanasema ni deterrent arms inafanya yule ambaye alikuwa na mpango wa kukushambulia afikirie mara mbili.
 
Kuelezea kunaeleweka, maana yake ni kuwa kuna kiwango ambacho uranium 235 ambacho kikifikiwa hyo compound inakuwa unstable ko inatoa energy ambao ndo mlipuko wenyewe, iko kiwango watengenezaji wa mabom wanakijua ko wanatengeneza pande mbili ambazo detonator (kitufe) kikibonyezwa pande hizo hugusana kukamilisha kiwango ko mlipuko hutokea

Insue sio lugha insue ni uelewa, jamaa alikalili
 
Vita ya 4 kama ikitokea haitakuwa mawe na fimbo
Kisa Einstein ndo kasema haimaanishi ndo ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…