Inawezekana mzee ni noma kwa nuclear kwa vitendo ndo maana analindwa na UN ili asifundishe hii kitu kwa wengine.
Mwingine alikuwa marehemu Pius Mwandu(R.I.P)
ata mimi napenda kiswahili kama wewe ndugu yangu, sema maarifa haya hayana kiswahili, nianze kusoma sijui ata kiswahili chake course hiyo....
kwa mfano kuna professional term hapo ambazo kwa lugha ya bibi zangu na wako...halflife=muda utakaotumika kiasi halisi cha mwanzo kujimega hadi nusu yake,
decay= kuvunjika vunjika kwa vitu vya mionzi au radioactive material...
kiswahili ngumu kuelezea atomic physics
Muulize Zelensky pia Muulize yule babu anaepungia hewa na kusalimia upepo kilichomkuta kule vietcong alipokamatwa mateka na kukabidhiwa kwa Putin ili asifurukute na hakufurukuta for 2 years chini ya Putin na kwanini akabidhiwe kwa putin na akati babu alikuwa na cheo na ujuzi kuliko Putin? Jibu ni uwezo wa kupigana wa Putin ndiyo aliweza kumdhibiti Putin.Yani kwa kifupi ni kwamba urusi ukiachana nyukilia anauwezo gani mwingine wa kupigana vita.
Wewe unaeelewa kiswahili mtafsirie bibi yako wa kule nyangao hizi sentesi zifuatazo:Huwezi kuwa msomi af unashindwa kuelezea hizo terminologies kwa lugha ya kinyumbani, hii inaonesha hujaelewa umekalili tu
Hayo madude kama yana madhara kiasi hicho ni kwann wanayamiliki? Na ata hawayatumii, hiv kweli hayo madude yana exist?
... hizi elimu zetu za kukariri kwingi hazitufikishi popote kwa kweli.Tatizo lako unakalili article unaileta tu apa,
Elezea kwa bby uelewa kama msomi na si kuchukua article ambayo mtu kaelezea kwa maono yake
Ata nipokuwa shule nilkuwa spend walim wanaokalili na ukipindisha article kidogo tu anachanganyikiwa
... anadai ndiye aliyemfurusha Hitler WWII.Yani kwa kifupi ni kwamba urusi ukiachana nyukilia anauwezo gani mwingine wa kupigana vita.
... kwani hiyo ni fani yake? Ni jukumu lako mwenye fani kuelezea kwa lugha ya kueleweka na sio suala la mwingine kutafsiri. Kupenda kuongea kwa misamiati (jargons) ya kitaalamu kwa wasio wataalamu wa fani husika ni dalili za kukariri.Wewe unaeelewa kiswahili mtafsirie bibi yako wa kule nyangao hizi sentesi zifuatazo:
1. Dehydrohallogenation of alkyl hallide under limainshubula de mupuantee
2. Restricteda rumbwegesiensis
3. Decarboxylation of ribulose biphosphate under unbwimbwilized sacharomycetes
Ukiona hivyo bado lugha yetu ni nyembamba kutafsiri baadhi ya hizo technical jargons other utayakuta hayo ma jargon yakibandikwa kama yalivyo hapo utaona uchachu wa elimu eg dihaidrohalojenesheni ovu alikaili halaidi... kwani hiyo ni fani yake? Ni jukumu lako mwenye fani kuelezea kwa lugha ya kueleweka na sio suala la mwingine kutafsiri. Kupenda kuongea kwa misamiati (jargons) ya kitaalamu kwa wasio wataalamu wa fani husika ni dalili za kukariri.
Kama vifaa gani ambayo Magharibi wanavyo na Russia hana?Wakisema kuyapunguza Urusi anakataa maana ndo kinampa ubabe, akisema ayapunguze uku hana uwezo na vifaa kama vya magaribi ni ujinga
Okey wateryNi hatari adi uku theoritically, ila practically sio kivile
In a nuclear war most countries wata depend on ICBMs na fighter jets kurusha makombora yao, na huwez ICBMs zina limitation of weight, so huwez beba such big bombs kwenye ICBM
Tsar bomba yenyewe ilkuwa 27 tons
Na most nuclear tests zimefanyika apaapa duniani kwenye isolated areas remember
Hapa umemaliza kiongozi π€£π€£π€£... hivi kuna physics ya Tanzania inaweza kujibu hayo maswali kweli? Sidhani. By the way, akili inanituma kwamba physics wanazotuletea huku ni fake, watakuwa na physics zao sio kwa madude hayo wanayo-develop!
Hapo umetafsiri moja kwa moja hujaeleza na ndio utofauti unapo anzia wa wasomi wetu. Anaweza kutafsiri aliyoyameza kwa kizungu ila kuyafafanua kwa lugha rahisi hawezi.. Kuyaweka katika uhalisia pia hawezi. Unapo shimdwa kuyafafanua kwa lugha rahisi hata kuyaleta kwenye uhalisia hutaweza pia.ata mimi napenda kiswahili kama wewe ndugu yangu, sema maarifa haya hayana kiswahili, nianze kusoma sijui ata kiswahili chake course hiyo....
kwa mfano kuna professional term hapo ambazo kwa lugha ya bibi zangu na wako...halflife=muda utakaotumika kiasi halisi cha mwanzo kujimega hadi nusu yake,
decay= kuvunjika vunjika kwa vitu vya mionzi au radioactive material...
kiswahili ngumu kuelezea atomic physics
Nuclears zilipigwa sana kimajaribio na kuna footage kibao za test za nuclear, search google na youtube utazipata.Kuhusu usalama wa dunia hakuna mwenye jibu la 100% kwasababu bado hayajatua ardhini tukiacha yale ya huko hiroshima. Zaidi madhara utakayo ambiwa ni approximations tu za kimahesabu kulingana na ukubwa na aina ya bomu lenyewe ila jua tu madhara yatakuwa makubwa.
ntaleta maelezo rahisi ndugu yangu usjal, nakosa nafasiHapo umetafsiri moja kwa moja hujaeleza na ndio utofauti unapo anzia wa wasomi wetu. Anaweza kutafsiri aliyoyameza kwa kizungu ila kuyafafanua kwa lugha rahisi hawezi.. Kuyaweka katika uhalisia pia hawezi. Unapo shimdwa kuyafafanua kwa lugha rahisi hata kuyaleta kwenye uhalisia hutaweza pia.
dudus
Kabisa. Wakati anafundisha UDOM mbeba mkoba w wake alikuwa ni black AmericanHii ni kweli? Kwamba dr bilali analindwa na UN?