.... shukran Mkuu at least wewe umenielewa. Achana na hayo ma-uranimu, hata simple tools tu physics zetu hazijaweza kutusaidia.Same physics, different intentions
Kama kusoma tumesoma sana ila applicationnnchi zetu za africa ni 0, ata bby kutengeneza generator hatujaweza sembuse hyo advanced physics,
Jibu ni wanatuletea physics ila wanajua hatuwezi kuitumia na kuitumia ni gharama kias kwamba hatuwezi iapply, na mara nying inafundishwa nuclear physics ya kuproduce umeme sio bomb maana kutengeneza bomb kunahitaji kupurify uranium na kutengeneza Uranium 235 isotope ambayo ni very tricky na unstable which we cant afford
Gahalib Bilal analindwa na UN???Inawezekana mzee ni noma kwa nuclear kwa vitendo ndo maana analindwa na UN ili asifundishe hii kitu kwa wengine.
Mwingine alikuwa marehemu Pius Mwandu(R.I.P)
... tupe tangible outputs achana na stori. Huyu huyu aliyelazimisha mara kadhaa urais wa Zanzibar hadi kutaka kukigawa chama ikabidi azawadiwe umakamu JMT? That means hakuamini sana kwenye elimu yake badala yake akaishia kuwinda teuzi.Yupo Bilal ni gwiji la physics.
Mkuu ukiacha nuclear, je tunajua nani alichora ramani ya dunia na mwaka gani na yeye akiwa wapi?... hivi kuna physics ya Tanzania inaweza kujibu hayo maswali kweli? Sidhani. By the way, akili inanituma kwamba physics wanazotuletea huku ni fake, watakuwa na physics zao sio kwa madude hayo wanayo-develop!
... hebu eleza kwa lugha ambayo hata bibi zetu kule vijijini wanaweza kuelewa; huo ndio usomi. Decay; decay ndio nini? Uranium inaozaje?kwa kifupi ni kwamba :
nuclear weapons =uranium elements(heavy metal which decay with specific half life slowly )
during their decay they emit high energy radiation that destroy living organism cells.......
in the living organism cells there is organelles in the nucleus that posses DNA materials, ......
radiation emitted by these elements while in their decay can penetrate living organism cells and change their nature.....
shortly are very harmful and takes long time to last.
take an examples of less energy radiation of X-rays on the bodies of organism, and not advised to take regularly....
let end here
Kama gari mpaka litumike huko ndio tununue sisi inakuaje usome physics mpya... hivi kuna physics ya Tanzania inaweza kujibu hayo maswali kweli? Sidhani. By the way, akili inanituma kwamba physics wanazotuletea huku ni fake, watakuwa na physics zao sio kwa madude hayo wanayo-develop!
ata mimi napenda kiswahili kama wewe ndugu yangu, sema maarifa haya hayana kiswahili, nianze kusoma sijui ata kiswahili chake course hiyo....... hebu eleza kwa lugha ambayo hata bibi zetu kule vijijini wanaweza kuelewa; huo ndio usomi. Decay; decay ndio nini? Uranium inaozaje?
Hizi strategic nuclear weapons (over 1,000 kilotons) za sasa ni tofauti na ile atomic bomb (15 kilotons) ya 1945 Hiroshima.Rubani aliyepiga kule Hiroshima aliishi miaka mingi tu.
Hapa sasa umeelezea au unaandika notes kutoka katika Abot , kwasababu Kama kwel unaelewa unaelezea kwa kuswahili lakin ulichoandika wewe kila mtu akienda kuangalia atasomakwa kifupi ni kwamba :
nuclear weapons =uranium elements(heavy metal which decay with specific half life slowly )
during their decay they emit high energy radiation that destroy living organism cells.......
in the living organism cells there is organelles in the nucleus that posses DNA materials, ......
radiation emitted by these elements while in their decay can penetrate living organism cells and change their nature.....
shortly are very harmful and takes long time to last.
take an examples of less energy radiation of X-rays on the bodies of organism, and not advised to take regularly....
let end here
Hii ni kweli? Kwamba dr bilali analindwa na UN?Inawezekana mzee ni noma kwa nuclear kwa vitendo ndo maana analindwa na UN ili asifundishe hii kitu kwa wengine.
Mwingine alikuwa marehemu Pius Mwandu(R.I.P)
.... Ha ha ha! Ukiona hivyo kuna kukariri kwingi kuliko kuelewa japo unaweza kuwa ulikuwa na A's flat! Ukielewa kitu kwa maana ya kukielewa nje, ndani, hakuna lugha itakupiga chenga kukifafanua kwa lugha hiyo alimradi unaielewa hiyo lugha. Ukishaona "chomekea chomekea" nyingi kuna walakini.ata mimi napenda kiswahili kama wewe ndugu yangu, sema maarifa haya hayana kiswahili, nianze kusoma sijui ata kiswahili chake course hiyo....
kwa mfano kuna professional term hapo ambazo kwa lugha ya bibi zangu na wako...halflife=muda utakaotumika kiasi halisi cha mwanzo kujimega hadi nusu yake,
decay= kuvunjika vunjika kwa vitu vya mionzi au radioactive material...
kiswahili ngumu kuelezea atomic physics
... kwa hiyo kuna uwezekano hata rubani atakayedondosha bomu la nyuklia la sasa naye akayeyukia huko huko angani au? Kama hayo madude ni hatari kwa kiwango hicho hivi ni ya kazi gani?Hizi strategic nuclear weapons (over 1,000 kilotons) za sasa ni tofauti na ile atomic bomb (15 kilotons) ya 1945 Hiroshima.
... jamaa kanakili (copy) vijimstari kutoka kwenye Abbott na University Physics eti naye anafafanua! Kazi kweli kweli.Hapa sasa umeelezea au unaandika notes kutoka katika Abot , kwasababu Kama kwel unaelewa unaelezea kwa kuswahili lakin ulichoandika wewe kila mtu akienda kuangalia atasoma
Ni hatari adi uku theoritically, ila practically sio kivileKwa tecknolojia ya leo, nuclear ni hatari si kwa huko mbali tu, hata huku.
Usiogope mwana, hizo ni kelele za mbwa Koko, namtumbo, Seoul, singida.... huko kote Kuna uranium chanzo Cha Hilo bomu la nuclear ila tunaishi salama tukiipigia ccm kura .....Kwa wale waliosoma physics na chemistry tunaomba msaada wenu kuhusu hizi silaha za nuclear ambazo Russia amekuwa akitishia mara Kwa mara kwamba anaweza kuzitumia.
JE, zikitumika usalama wa Dunia utakuwaje? JE, usalama wa Russia utakuwaje? Uwezo wa nuclear wa Russia na USA ukoje. Juzi trump katamba kwamba USA wana most advanced nuclear weapons kuliko taifa lolote.
kwa kifupi ni kwamba :