Ntu nke au ntu mme?

Miguu yao ndo imeniacha hoi, hasa huyo mwenye top nyekundu.
 
Kama ni maigizo au kweli lkn haika inatisha, kwani hawajamaa ni wa k' walioandamana kudai haki ya mashoga, Ee Mungu wetu tusamehe kwa mambo haya tuayafanyayo.
 
hata humu wako wengi sana wa namna hiyo
 
Mbona wazanzibari mwapenda kashfa kashfa. na matusi ti Nyie si ndio mwajiita waislamu nyie? Askafirullah. Mungu awaongoze inshallah
 
Mbona wazanzibari mwapenda kashfa kashfa. na matusi ti Nyie si ndio mwajiita waislamu nyie? Askafirullah. Mungu awaongoze inshallah

Nani kasema hao ni waislamu au ni WaZnZ mbona mnapenda chokochoko nyie
 
kuna watu huwa hawaridhiki na vile walivo..aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…