Ntotofula Natural Swimming Pool
NTOTOFULA ni neno la Kinyakyusa lenye maana ya Povu, Sehemu hii ya kuogelea inayopatikana ndani ya Mto Mbaka katika kijiji cha Mbambo Halmashauri ya Busokelo iliitwa hivyo kutokana na uwepo wa povu la asili litokanalo na maji kujipiga