CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Mkuu umeona enh?! Kuna watu nilikuwa nawangojea tu hapa jamvini, 'Ooh!Lowassa chaguo la Mungu' Ooh! Yesu alisemwa na kutukanwa pia! Ooh! Kaombewa na Ma-sheikh, maaskofu, wachungaji! Eti ooh!Atakuwa rais ndani au nje ya CCM.
Walileta mchezo walisahau MUNGU hadhihakiwi!
Soko lake lipo wapi wadau wa biashara?
Soko lake lipo wapi wadau wa biashara?
Vipi kwani? Au kwasababu umekosea kwenye speling umeweka double s. Yatauzika tu, we peleka kwenye mnada wowote wenye wamasai especial monduli uone kama hujarudi kuandaa nyingine kama hizo.
Nauliza hivi kwani Uchaguzi tayari?????