Maana yake ni CCM wewe hukumsikia Prof janaNaomba kuuliza maana ya hilo neno. Maana kila nikiliona napata ukakasi.
Naomba kuuliza maana ya hilo neno. Maana kila nikiliona napata ukakasi.
Huyu amewahi kuwa mkuu wa kanisa la Anglikana Tanzania. Sikutegemea kuwa anaweza kuwa mtumwa wa mawazo kiasi hiki..
Lukuvi, Wasira, Mtetemala and co.
Wapangwa GESI TU!.
Lukuvi, Wasira, Mtetemala and co.
.
Huyu amewahi kuwa mkuu wa kanisa la Anglikana Tanzania. Sikutegemea kuwa anaweza kuwa mtumwa wa mawazo kiasi hiki.
kwa mujibu wa maelezo yaliyo kwishatolewa neno lina maana stahiki na ni muhimu watu waelewe maana yake kisha wajue uzuri na ubaya wake. Limeshakuwa "coined" na sasa utalisikia sana.lipumba na uprofesa wake hakutumia akili kutamka hayo maneno,
wananchi tusiendelee kulitumia
ni waasi wa rwanda walioteketeza maelfu mwaka 94