Dj toni Member Joined Aug 3, 2015 Posts 30 Reaction score 13 Aug 3, 2018 #1 Wanajamvi kama kuna mtu anajua wapi ntapata mbegu za uyoga anisaidie tafadhali...
mchawi wa kusini JF-Expert Member Joined Apr 18, 2018 Posts 830 Reaction score 902 Aug 4, 2018 #2 Uyoga hauna mbegu ila wewe kusanya matakataka tu weka sehemu moja ndani ya mwaka mmoja yakioza utauona uyoga Onyo: Unapokusanya sio kila siku una mwaga takataka ukishakusanya ya kutosha usiende kuongeza zingine tena.
Uyoga hauna mbegu ila wewe kusanya matakataka tu weka sehemu moja ndani ya mwaka mmoja yakioza utauona uyoga Onyo: Unapokusanya sio kila siku una mwaga takataka ukishakusanya ya kutosha usiende kuongeza zingine tena.
miminimkulimaakachekasana JF-Expert Member Joined May 29, 2017 Posts 3,263 Reaction score 4,741 Aug 4, 2018 #3 Doyi
CORAL JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 2,827 Reaction score 1,858 Aug 4, 2018 #4 Uko wapi? Kuna mahali zinauza Mbeya tuwasiliane. Aina ni Oyrster.
Dj toni Member Joined Aug 3, 2015 Posts 30 Reaction score 13 Aug 5, 2018 Thread starter #5 CORAL said: Uko wapi? Kuna mahali zinauza Mbeya tuwasiliane. Aina ni Oyrster. Click to expand... Sawa mkui
CORAL said: Uko wapi? Kuna mahali zinauza Mbeya tuwasiliane. Aina ni Oyrster. Click to expand... Sawa mkui
manerick Member Joined Aug 31, 2013 Posts 61 Reaction score 32 Aug 7, 2018 #6 Ingia www.tanmush.com Ni kampuni iliyopo Mbeya nanenane. Lakink pia katika hii website utapata namba ya meneja na atakusaidia.
Ingia www.tanmush.com Ni kampuni iliyopo Mbeya nanenane. Lakink pia katika hii website utapata namba ya meneja na atakusaidia.
Dj toni Member Joined Aug 3, 2015 Posts 30 Reaction score 13 Aug 8, 2018 Thread starter #7 manerick said: Ingia www.tanmush.com Ni kampuni iliyopo Mbeya nanenane. Lakink pia katika hii website utapata namba ya meneja na atakusaidia. Click to expand... Sawa boss nashukuru
manerick said: Ingia www.tanmush.com Ni kampuni iliyopo Mbeya nanenane. Lakink pia katika hii website utapata namba ya meneja na atakusaidia. Click to expand... Sawa boss nashukuru
Elvis Legacy JF-Expert Member Joined Aug 10, 2017 Posts 4,405 Reaction score 6,631 Aug 8, 2018 #8 msokela said: Uyoga hauna mbegu ila wewe kusanya matakataka tu weka sehemu moja ndani ya mwaka mmoja yakioza utauona uyoga Onyo: Unapokusanya sio kila siku una mwaga takataka ukishakusanya ya kutosha usiende kuongeza zingine tena. Click to expand... Unafahamu unachokiandika mkuu?
msokela said: Uyoga hauna mbegu ila wewe kusanya matakataka tu weka sehemu moja ndani ya mwaka mmoja yakioza utauona uyoga Onyo: Unapokusanya sio kila siku una mwaga takataka ukishakusanya ya kutosha usiende kuongeza zingine tena. Click to expand... Unafahamu unachokiandika mkuu?
A Aneel munawar JF-Expert Member Joined Aug 1, 2017 Posts 4,862 Reaction score 8,511 Aug 8, 2018 #9 msokela said: Uyoga hauna mbegu ila wewe kusanya matakataka tu weka sehemu moja ndani ya mwaka mmoja yakioza utauona uyoga Onyo: Unapokusanya sio kila siku una mwaga takataka ukishakusanya ya kutosha usiende kuongeza zingine tena. Click to expand... Huyu ndio maskini ya mungu...hakuna analolijua...
msokela said: Uyoga hauna mbegu ila wewe kusanya matakataka tu weka sehemu moja ndani ya mwaka mmoja yakioza utauona uyoga Onyo: Unapokusanya sio kila siku una mwaga takataka ukishakusanya ya kutosha usiende kuongeza zingine tena. Click to expand... Huyu ndio maskini ya mungu...hakuna analolijua...