Ntapata Galaxy S3 kwa tsh.300000

Ntapata Galaxy S3 kwa tsh.300000

the supporter

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2013
Posts
834
Reaction score
1,102
oyoooh na hitaji galaxy s3 kwa laki tatu kama kuna mtu ypo owky kwa hyo bei
 
oyoooh na hitaji galaxy s3 kwa laki tatu kama kuna mtu ypo owky kwa hyo bei plz chck m 0715294119

Hahahahah, Mchina utapata aisee. Hivi nyie watu mnacheza na vitu Original yaani laki 300,000 unataka SAMSUNG GALAXY tena S3..duh
 
Mbona kuna jamaa ameletewa na muuza duka la mhindi,mpya na complete ndan ya box kwa lak1.5!,tena amesema analeta i pads za kutosha wk ijayo. anataka apige hela asepe!
 
Hahahaha, hii kali
lol! vibaka hawawez kumbania, hata kwa laki wanamuuzia, si wanajua wanawekeza, siku wakichoka wanamtarget yeye mwenywe wanampiga ngeta wanaenda kuiuza kwa mwingine tena!
 
Mbona kuna jamaa ameletewa na muuza duka la mhindi,mpya na complete ndan ya box kwa lak1.5!,tena amesema analeta i pads za kutosha wk ijayo. anataka apige hela asepe!
nina laki na nusu nitafutie hiyo simu mkali. nipe no nikutafute
 
Mbona kuna jamaa ameletewa na muuza duka la mhindi,mpya na complete ndan ya box kwa lak1.5!,tena amesema analeta i pads za kutosha wk ijayo. anataka apige hela asepe!

Mi nataka nipe namba nikucheki
 
Back
Top Bottom