kwani mfungo umeanza au?na hairuhusiwi kula kabisa?
Sina iamani na hicho unachokisema,labda ulikuwa fukwe za Dar siyo za KG
Habari,
Nilipita maeneo ya Ujiji karibu na barabara ya pale Livingstone. Mkono wa kushoto ka unaelekea ziwani kuna miti mingi ya michikichi wao wanaiita migazi.
Ujiji ni eneo linalokaliwa na ndg zetu wengi wa dini ya waarabu.
Mji huu hauendelei, uko static sana na kuna majumba ya tangu enzi za utawala wa mwarabu. Tabia za ufuska ni kubwa sana (siku moja nilishuhudia watu wanagegedana ufukweni na watu wanapita kando as ni kibarabara kikubwa, mie nilikuwa naogelea. Kuna wengine niliwahi kuwaona wakigegedana majini live).
Basi rafiki angu mmoja mchepukaji mzoefu alikapenda kabembe kamoja akaamua kukavamia ili apate huduma ya chap chap! Dada wa watu akamjibu, "nisamehe tu baby, nisubirie mpaka nimalize mfungo mtukufu kisha utajipimia utakavyo, ni bonge la utamu, we utaona"
Jamaa alikomaa mno as alivutiwa na hako ka mchepuko haswaa....
Wadau, dhambi huwa haipigishwi break ila inaachwa!
Wasalaam!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
nikose utam mwezi woteNi dhambi ukimkula asiye mkeo!
Labda ndg zangu waje watuambie kama ni dhambi hata kumkula mke wakati wa mfungo.
Wakisema ni dhambi uache sasa!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
utakuwa mpenzi wa kupiga DEO wewe, si bure...!!Bornagain nakuhakikishia! Ka uko Kigoma we panda hiace za Mjini-Ujiji, shukia kituo cha Bakwata na fuata barabara ya Livingstone utatokezea ufukwe wa ziwa Tanganyika. Pale pwani kuna stand ya maboti makubwa ya mbao, nenda kulia au kushoto utakuta watu wanafua na kuoga. Majira ya jion jion ka saa 12 utashuhudia hii kitu japo si kila siku. Ukiona hapo hapakupi 'matokeo makubwa sasa' nyosha mpaka beach moja inaitwa Aifola, huko ndo utajionea mambo!
Nimewahi fika kote huko ktk michakato yng! Ila ni bonge la natural beach aisee!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Haya maneno ungemwambia huyo binti ingekuwa vema zaidi...
Halafu mwambie na mshikaji wako aache Zinaa....
Tena ukute sio mshikaji wala nini...wewe huyo na mihasira ya kunyimwa chiu ukaona uilete humu.....
Mbona utakufa na uzito wako mwaka huu...
Ni dhambi ukimkula asiye mkeo!
Labda ndg zangu waje watuambie kama ni dhambi hata kumkula mke wakati wa mfungo.
Wakisema ni dhambi uache sasa!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Hata utotoni sikupenda, sembuse ukubwani?