wasumu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 2,057
- 1,710
najua wengi mnaujua wimbo alioimba gallatone /ntakupa samaki >>>>> lengo langu ni kuzungumzia upendo wa kweli ambao wanaume wengi ambao ni makapuku wanamapendo ya kweli sana kwa kuwa hawana kitu ... ndio maaana makapuku wa jf wanataka vua samaki ili waweze kusikika ..... ambao hawana kitu siku zote huwa namapendo ya kweli