dikembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 1,645
- 1,441
Habari wadau...
Leo nimekaa ofisini kuna mistake niliifanya nkawa nataka Boss asikumbuke, nkashindwa kujua nifanyeje. But ghafla nkakumbuka kuna kamchezo nilikua nakatumia utotoni.
Unakumbuka kuminya betri (pu***) au kukunja konya( ku-overlap vidole viwili vya mikono)? ilibaki kidogo ni-apply haka mbinu ka kalee.
Imenikumbusha sababu mara nyingi (utotoni) nilipofanya kosa basi huwa nakunja konya na mama/baba alisahau kabisa.
au kwenye mpira unambinyia mtu betri(pu***) na jamaa anakosa penalt.
Sasa sina uhakika kama kweli ilikua inafanya kazi ama ni imani tu? Afu hivi watoto wa siku hizi wanafanya hivi vitu?
Leo nlitaka nimminyie boss but nkajishtukia daaaah noooma...Akiniona itakuaje?
Sijui kama mikoa yote tulitumia lugha moja kama kukunja konya...Kwa wale waliokulia kaskazini mwa Tanzania tuliita hivyo.