Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,300
Asalaam waungwana..!!!ishu iko hivi natiririka.... niko na mpenzi wangu kwa mda sasa,mpenzi wangu huyu ali kua ameajiliwa kwenye kampuni binafsi sasa juzi yalitokea matatizo kazini kwake,kwa bahati mbaya akaonekane yeye ndo kasababisha na akawa amefukuzwa kazi..tulikua na wakati mgumu kumfariji as alikua amechanganyikiwa kabisa coz hiyo kazi ndo alikua anaitegemea kumtunza yeye na mama yake.
Tangu amefukuzwa kazi amebadilika nmekua simwelewi imekua kma vile mie ndo nmemfukuza kazi.
Jana nlimpigia simu mida ya saa tisa mchana akanambia anaitaji kumpumzika and that shes drinking..for all of that time that we wre together i had never seen or heard that she drnks..sikumsubua for i knew her frastrations..
tangu saa tisa nlikua nikijitahidi kumpigia simu bila mafanikio amekua hapokei simu yangu,nimetuma text mesges hakuna response yoyote watsapp vile vile,nkimcheck watsapp some times anakua online some times offline,that meant she sees ma text msges and my calls ila anafanya kusudi tu.nlijitahidi kumtafta kwa mtindo huo ila hakupatikana..ilivofika mida ya saa sita usiku isaid to ma self no ihave to be a responsble boyfriend nkaamua kwenda kumtafuta nlienda mojakwaoja kwao,mamake ajui chochote kuhusu mimi au mimi na mwanae ila ihad to go kwao nione kama atakuepo nyumbani
Nlimkuta mamake tu na yeye alikua worriedaliniekeza kwa possible frnds wake maybe uwenda nkampata huko ila wapi..igaveup nkaenda zangu waiting to hear from her in the morning..mdogomdogo nkaenda zangu home..sasa leo asubuhi mida ya saa tatu akantext eti babe gudmorning..mpaka naandika hii post sijamjibu salaamu yake and she has not taken any trouble kunitafuta since that time..
siitaji kubembelezwa ila nlitaka nione how sorry she was about wat she dd..nmemtumia msg telling her em tired of her shits... je wana mmu nmemuonea kweli huyu ama i should have wait..?(kuweka kumbukumbu sawa huyu ni yule demu nliletaga uzi hapa kua wangu anavuta bangi.)