Ntajuaje kama simu yangu imewekewa spy application?


Mkuu nimeona device manager na AVG Anti Theft service tu
 
labda aipo kwenye inawezekana wame monitor sim card kwenye mtandao unao utumia yani labda ameenda tigo kufanya icho kitu dawa apo nunua nokia torch na chip nyimgine
 
Mkuu nimeona device manager na AVG Anti Theft service tu

Hio avg ant theft umeiweka wewe? Hizi app zina tabia ya kujeka majina tofauti.

Avg ant theft Ni ya kuzuia wizi WA simu ila kama hujaiweka wewe itoe
 
simu ni Techo P7.....

Nenda kwenye Playstore, chagua antspy app, downlod and instal kulingana na mahitaji yako. Hapo utakuwa umekomesha, spy app uliyowekewa itaendelea kuwepo bila kupeleka taarifa kwa mtu anaye-kuspy. Tatizo ni kwamba kama ukiiondoa, siku akichukua simu yako asipoiona atajua kuwa umeiondoa, hivyo, atahisi kuna Mchepuko umekufundisha. lakini ikiendelea kuonekana hatakuwa na wasi wasi wowote.
 

Chief mi kidogo ni Thomaso napenda kubisha bisha ili nipate maarifa mapya..
Sasa kuna jamaa angu mmoja mke wake anadai amehack simu yake so kila call anayopiga jamaa mke wake anapata access ya kusikia maongezi...je ni kweli mkuu kuna app inayoweza kufanya hilo...binafsi nimembishia...maana jamaa sa hivi anaiogopa Simu yake anatamani turudi kwenye ulimwengu wa S.L.P
 

Ipo mkuuu usikatae mm nishawahi hadi kuitumiaaa mkuu... Acha kabisaaa unaweza kufaa kwa pressure kama huna kifua
 

Kwenye android kuna kitu kinaitwa permission kila app unayoieka inaomba hizo ruhusa, inamaana wewe ukiipa ruhusa ya kila kitu basi inajua kila unachofanya.

Mtu akishika simu yako anaeka app ya kuspy then anaipa hizo ruhusa bila ya uelewa Wako halafu app inahificha.

Hivyo inawezekana kabisa jamaa anachunguzwa na mke wake
 
Kwanini kila unapopiga simu ...message hii inatokea..."conditional call forwading active"..ni salama au kuna mtu anasikiliza kila unapopiga simu?
 
Kwanini kila unapopiga simu ...message hii inatokea..."conditional call forwading active"..ni salama au kuna mtu anasikiliza kila unapopiga simu?

Watu wameshafanya yao mkuu...
 
dawa yake nunua sim isiyo na access ya internet kama nokia ya tochi mpya weka line mpya...asiijue no halafu dili zako zote chafu/ vimeo tumia iyo mpya kuwe uwe clean hata akiona msg na sim hakuna kesi..
NB: uwe care na sim mchepuko asiifume

Duuu !! Bingwa wewe mzoefu wa vichechee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…