Ndio nani huyo??
Warumi umeona picha ya maimatha jesse nimecheka mpaka basiii
Nimejitahidi kutafuta sio Google, you tube na baadhi ya sites ambazo ziliunganishwa na links za kuupaata huo wimbo kama humu jf niliona links, cha ajabu nikiingiaa nakuta blank page, naitafuta nyimbo ya emmanuel nkulila PAIN IN ME, i real need that song, anayejua pa kuipata please i need help. Huyu jamaa namkubali sana yani,nimesikiliza miss Tz dah!!! Huyu jamaa kiboko kwa kweli,salute popote alipo.
Ninayo pain in me, kama una e mail au whatsapp naweza kukutumia
Nimejitahidi kutafuta sio Google, you tube na baadhi ya sites ambazo ziliunganishwa na links za kuupaata huo wimbo kama humu jf niliona links, cha ajabu nikiingiaa nakuta blank page, naitafuta nyimbo ya emmanuel nkulila PAIN IN ME, i real need that song, anayejua pa kuipata please i need help. Huyu jamaa namkubali sana yani,nimesikiliza miss Tz dah!!! Huyu jamaa kiboko kwa kweli,salute popote alipo.
mkuu naomba unitumie nami
mkuu umeipata naitafuta sana umenikumbusha enzi hizo inapigwa na itv ya zamani kipindi hicho walikuwa wakiimba kwenye ufukwe dah
Natuma vipi mkuu?
Mie ninazo Audio zake kama 10 hivi including na Pain In Me nikipitia Library yangu nitaattach,Video yake ndio naitafuta,ITV ndio wanayo tu enzi hizo 98 au 99 ilikuwa inapigwa sana ITV,Emmanuel Nkulila yupo na demu hivi kwenye ufukwe wa bahari ni noma,Why dont you see that pain in me? Why did you take ur luv from me?
Umeipata?
bado mkuuu