hapo ndio wanakuchinjia bahariniiii...
kuna sheria wanaisubiri bunge ipitishe... so wanakusogeza sogeza mbele ili wakutose kwa sheria mpya ikipitishwa
Marekebisho ya sheria ya mifuko ya hifadhi ya jamii yanahusika mkuu. Usiwachukie nssf, wachukie wabunge wa JMTNSSF mliniambia nisubiri miezi sita ili niweze kupata mafao yangu, miezi sita imefika , nimekamilisha kila kitu kujaza miform yenu, hatua ya mwisho mnaniambia nije baada ya miezi miwili kuulizia hundi, sababu eti sijafika miaka 55.
Sasa najiuliza ;
1. Hizi hela za kwenu?
2. Zinazid kukaa, je zinaongezeka?
Mmeniboa sana, hii haikubaliki hata kidogo
Wakati wao walikuwa wanakata kila mwezi wao wanakuambia uje miezi minane pumbavu kabisaaaNSSF mliniambia nisubiri miezi sita ili niweze kupata mafao yangu, miezi sita imefika , nimekamilisha kila kitu kujaza miform yenu, hatua ya mwisho mnaniambia nije baada ya miezi miwili kuulizia hundi, sababu eti sijafika miaka 55.
Sasa najiuliza ;
1. Hizi hela za kwenu?
2. Zinazid kukaa, je zinaongezeka?
Mmeniboa sana, hii haikubaliki hata kidogo
Tatizo la Sheria hiyo ni umagharibi zaidi. Tanzania tunaiga maana ya mafao kwa mujibu wa sheria za wenzetu wazungu, tunasahau kuwa life expectancy yenyewe tu ni mika 63, sasa hadi ufikishe 55 una miaka michche sana ya kula bata na mafao yako. Lakini Sheria hiyo ilipitishwa Bungeni waliokumbuka kuipinga ni wabunge wa CDM pekee, wa CCM waliiunga mkono. Jambo lingine ni Taasisi zenyewe ndio tatizo, wanapopeleka mapendekezo wanakuwa wanajifikiria wenyewe zaidi na si kufikiria madhara yanayoweza kumpata mfanyakazi wa mgodini au sekta binafsi ambaye haitaji kufanya kazi mpaka azeeke. Viongozi hao wanakuwa wameshiba na wanaishi maisha mazuri, hivyo kwao kusubiri miaka 55 si tatizo. Pamoja na kuwa wanaeleza maneno mazuri kuhusu sababu za kuweka sheria hiyo, mimi naamini bado imekaa kiulaya zaidi na haina mashiko kwa maisha yetu ya kitanzania.NSSF mliniambia nisubiri miezi sita ili niweze kupata mafao yangu, miezi sita imefika , nimekamilisha kila kitu kujaza miform yenu, hatua ya mwisho mnaniambia nije baada ya miezi miwili kuulizia hundi, sababu eti sijafika miaka 55.
Sasa najiuliza ;
1. Hizi hela za kwenu?
2. Zinazid kukaa, je zinaongezeka?
Mmeniboa sana, hii haikubaliki hata kidogo
Hivi wabunge nao wanasubili miaka 55!!?Marekebisho ya sheria ya mifuko ya hifadhi ya jamii yanahusika mkuu. Usiwachukie nssf, wachukie wabunge wa JMT