Kaudunde Kautwange
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 1,625
- 1,619
Habari wana Jukwaa..
Juzi wakati naangalia taarifa ya habari, nilipata kusikia kuwa NSSF wamechangia 60% kwenye mradi wa daraja la kigamboni.
Sasa, nikawa najiuliza haya maswali:
1. Je, huo ni mkopo, ambao NSSF wameikopesha serikali??
2. Kama sio mkopo, NSSF wanafaidikaje na mradi, na pesa walizochangia ni za wanachama, watazirudishaje!??
Ahsante. Nawasilisha