shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,487
- 2,394
Ikiwa ni ktk kudharau maamuzi ya rais magufuli ya kubana matumizi kwa kila sekta,magufuli aliagiza pamoja na mambo mengine kutumia kumbi za taasisi husika kufanyiwa mikutano.Lakini ktk pitapita zangu nimekutana na wafanyakazi wa Nssf bagamoyo wakiwa eti wanaganga kikao ADEP.Mkuu wa shirika unalijua hili?
Ikiwa ni katika kudharau maamuzi ya rais Magufuli ya kubana matumizi kwa kila sekta, Magufuli aliagiza pamoja na mambo mengine kutumia kumbi za taasisi husika kufanyiwa mikutano. Lakini katika pitapita zangu nimekutana na wafanyakazi wa NSSF Bagamoyo wakiwa eti wanaganga kikao ADEP.
Mkuu wa shirika unalijua hili?
Ndugu unamaanisha ADEM? Ama sehemu nyingine? kama ni pale WAMEBADILI jina?Ikiwa ni katika kudharau maamuzi ya rais Magufuli ya kubana matumizi kwa kila sekta, Magufuli aliagiza pamoja na mambo mengine kutumia kumbi za taasisi husika kufanyiwa mikutano. Lakini katika pitapita zangu nimekutana na wafanyakazi wa NSSF Bagamoyo wakiwa eti wanaganga kikao ADEP.
Mkuu wa shirika unalijua hili?
Mtoa mada haelewi. Agizo ni kwamba mikutano ifanyike kwenye kumbi za mikutano za taasisi lakini kama ukumbi wa taasisi haupo ama hautoshi basi watumie kumbi za taasisi za serikali. Hivyo sioni kama NSSF wana kosa kwa kuwa wapo kwenye ukumbi wa taasisi ya serikali. Mtoa mada ana wivu ule aliousema Msekwa miaka ileeee.Du ni hatareeeeeee,hivi kuna agizo LA kutokukodi kumbi ee au mtoa mada hajielewi
Huo ukumbi unachukua watu wangapi? hao wajumbe wako wangapi? na ni mkutano wa nini? labda tuanzie hapo kwanza.Mtoa mada haelewi. Agizo ni kwamba mikutano ifanyike kwenye kumbi za mikutano za taasisi lakini kama ukumbi wa taasisi haupo ama hautoshi basi watumie kumbi za taasisi za serikali. Hivyo sioni kama NSSF wana kosa kwa kuwa wapo kwenye ukumbi wa taasisi ya serikali. Mtoa mada ana wivu ule aliousema Msekwa miaka ileeee.
shangaa, nafikiri magufuli anapaswa kutembea na bakora watu wengine ni wakuchapa bakora kwanza kabla ya kusweka ndani.kwenda bagamoyo2 tyr kosa......
makao makuu ya nssf yapo wapi????????
uko sahihi mkuushangaa, nafikiri magufuli anapaswa kutembea na bakora watu wengine ni wakuchapa bakora kwanza kabla ya kusweka ndani.
Kamanda umeongea sentensi muhimu sana.Sasa naona ni sera ya tukose sote