Nssf update

Nssf update

Ntangilege

Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
25
Reaction score
3
habarini za asubuhi ndugu zanguni hivi majibu ya nssf bado kwa interview iliyofanyika ifm mwenye taarifa tufahamishane
 
Huwa wanatabia ya kuwapigia simu selected tu.
 
bora hata wewe umeuliza maana mi nilisahau...yani ni kimya.no any information
 
acheni kusubiri tu vijana tuangalie na fursa nyingine..je usipoitwa ndo uanze kutafuta kwingine?
 
Sorry hao wa interview ya kesho nssf ni written au oral? kama written ni zile zilizoisha Dec15, otherwise tumepigwa zile za pale ifm!
 
Kuna mtu aliandika kuna interview za nssf kesho naona amedelete uzi! naomba kufaham kama ni taarifa za kweli!
 
Back
Top Bottom