NSSF sasa yaingia kidigitali

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,687
Shirika la Hifadhi ya jamii (NSSF), limefanya mabadiliko katika mfumo wa mawasiliano kwa kuanza utaratibu wa kidigitali katika kutoa na kupokea taarifa kutoka kwa wanachama na wastaafu wa huo.
"zaidi soma kiambatanisho"

Chanzo: NIPASHE
 
Attachments

PPF walianzisha huo mfumo. Ex-CEO wa former PPF na Director wake wa ICT wamehamishiwa NSSSF na wote wawili wako vizuri na hivyo kuelekea kufanya maboresho yanayotajwa. Ukisikia mabadliko ya kuleta ufanisi ndiyo hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanataka kulipwa madai yao ndani ya muda mfupi na siyo hizi porojo, watu wamechoshwa na kalenda kama za mahakamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…