MrNSSF Senior Member Joined Mar 17, 2011 Posts 136 Reaction score 73 Mar 17, 2011 #1 GREAT THINKERS, Leteni maswali na hoja zenu. Kama mkileta na supporting evidence nadhani tutakuwa tuko mstari sambamba. Mods na Admin naomba muwe ma referees pale ambapo matusi yatakapoanza
GREAT THINKERS, Leteni maswali na hoja zenu. Kama mkileta na supporting evidence nadhani tutakuwa tuko mstari sambamba. Mods na Admin naomba muwe ma referees pale ambapo matusi yatakapoanza
Mtazamaji JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 5,937 Reaction score 1,445 Mar 17, 2011 #2 wewe mbona unaanzisha thread nyingi. kajibu kule maswali basi mkuu? Tuna mengi ya kujifunza kutoka kwako na wewe una mengi ya kusiki na kuwafikishai hao wakuu au kama na wewe ni mkuu kuyafanyia kazi.
wewe mbona unaanzisha thread nyingi. kajibu kule maswali basi mkuu? Tuna mengi ya kujifunza kutoka kwako na wewe una mengi ya kusiki na kuwafikishai hao wakuu au kama na wewe ni mkuu kuyafanyia kazi.