Usanii tu huo achana nayo kama unataka kukopa nenda benk.Hawa nssf si wale waliojenga nyumba wakidai ni kwa ajili ya wanachama wa kipato cha chini huko kigamboni halafu baada ya kumaliza kujenga wakaanza kuziuza bei ya kuanzia milioni 80 mpaka 200 hiyo ndio kumsaidia mwanachama wa kipato cha chini au ni usanii tu.