Nssf na mikopo kwa wanachama.

malisoka

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
1,860
2,637
Wakuu nimesikia kwamba nssf wanatoa mikopo kwa wanachama. kwa masharti gani na sifa gani? nijulisheni jamani?
 
Hiyo kitu nssf wanataka kuwaingizeni mkenge tu.
Wanadai watazikopesha saccos na si mtu mmoja mmoja. Kwa hiyo kama unataka mpunga tengenezeni saccos kwanza, bila hivyo sahau.
 
Changa la macho hilo...wanaotoa mikopo ni saccos na si nssf...ni mbinu za kuwaadaa watanzania...
 
Usanii tu huo achana nayo kama unataka kukopa nenda benk.Hawa nssf si wale waliojenga nyumba wakidai ni kwa ajili ya wanachama wa kipato cha chini huko kigamboni halafu baada ya kumaliza kujenga wakaanza kuziuza bei ya kuanzia milioni 80 mpaka 200 hiyo ndio kumsaidia mwanachama wa kipato cha chini au ni usanii tu.
 
Walisema watatoa mikopo ya nyumba hata kama priority yako sio nyumba.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom