NSSF na Mafao yakujitoa kuna nini???

NSSF na Mafao yakujitoa kuna nini???

Labda nikuulize ni sheria ipi inasema kuna fao la kujitoa!?
Pili ni nini maana ya mifuko ya jamii kama ilivyoainishwa na ILO!?
Mbona hamuendi kudai kupewa makato ya PAYEE mnayokatwa kwa mwezi!?

Jifunze kujiwekea akiba ya uzeeni wakati huna uwezo wa kuzalisha
Wewe utakuwa huna akili,kama unayo basi imejaa MAVI, jaribu kutafakar kabla ya kuongea! Unataka kuniambia kwanini apo awali watu walikuwa wanapewa mafao yao Mara baada ya kuacha/kuachishwa kazi?

Ppf wamelipa, kwanini Nssf hawalipi? HILO ndilo swali la kujiuliza
 
Mimi ni shahid nimeachishwa kaz Mwaka Jana, wenzangu waliokuwa Ppf walikaa mwez mmoja kisha wakalipwa pesa zao, lakini Nssf ukienda Mara hivi, Mara njoo mwez ujao, nimefungua kwa mbinde mwez wa tatu lakini mpka sasa pesa inazingua tu! Mara wanasubiri approve,Mara uongozi umebadilishwa, Mara pesa yenu imeshasainiwa na mkurugenzi mkuu subirieni ndani ya wiki hii, yaani ni UZWAZWA MTUPU
 
Kuna watu wana miaka,wanazungushwa tu mafao yao!!
 
Poleni sana
Nimekuwa nikifuatilia pesa yangu NSSF arusha.

Na uzuri zaidi ni kwamba pale jikoni niko na mtu nafahamiana naye.

Amenidokeza kuwa issue ni ile sheria iliyotungwa na wabunge wenu na imeshapitishwa na inafanya kazi kwa sasa huruhusiwi kuchukua pesa mpaka ufikishe miaka 50
 
Hii sheria inawahusu wale waliofungua madai baada ya sheria kuanza kufanya kazi,kwa wale waliofungua madai kabla ya sheria kuanza kazi,watapata lakini kwa kuzungushwa kweli kweli!!
 
Sio kweli mimi nimeuliza kabisa jikoni nilitaka nikachukue fungu langu
 
Enzi za Dr Dau siku 21 tuu unakuta cheki yako ipo tayati
 
DIAMOND PLATNUMTZ ANAHUTUBIA TAIFA MUDA HUU KUPITIA GLOBAL TV.AISEE ANAFUNGUKA MENGI NI BALAAA
 
Sio kweli mimi nimeuliza kabisa jikoni nilitaka nikachukue fungu langu
Hebu soma hapo mkuu
IMG-20180814-WA0012.jpg
 
Lakini kuna watu wanapewa,sasa sijui wanatumia vigezo gani kuwapa hela
 
Labda nikuulize ni sheria ipi inasema kuna fao la kujitoa!?
Pili ni nini maana ya mifuko ya jamii kama ilivyoainishwa na ILO!?
Mbona hamuendi kudai kupewa makato ya PAYEE mnayokatwa kwa mwezi!?

Jifunze kujiwekea akiba ya uzeeni wakati huna uwezo wa kuzalisha
Poor Thinking Capacity
 
Akiba ya uzeeni ndio hiyo NSSF yenyewe.Fao lakujitoa kwa kweli halipo kila mtu aelewe ila kuna fao la ukosefu wa ajira.Huwezi acha kazi ukalipata mpaka ufikishe umri wa kustaafu.Ila ukisimamishwa kazi bila matakwa yako utalipata.Nashauri serikali kitu kimoja kuna umri ukifika ni vigumu kuajiriwa tena pia ajira hata serikali yenyewe zipo kwa mgao.Basi kwa kundi hili iwekwe sera ya kuwafikiria mapema
 
Back
Top Bottom