NSSF na Mafao yakujitoa kuna nini???

NSSF na Mafao yakujitoa kuna nini???

Mangungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
2,405
Reaction score
3,061
NSSF ni taasisi ya serikali yenye wajibu na majukumu yakukusanya nakupokea michango ya wafanyakazi kutoka sector binafisi, kama wote tujuavyo,ingawa huko nyuma kidogo kipindi cha Dr Ramadhan Dau,NSSF walikua wanapokea michango toka hata kwa watumishi wa UMA,hivyo ndivyo ilivyokua kwa mifuko mingine ya hifadhi kama GEPF,LAPF,PPF,PSPF!

Sasa hivi chini ya uongozi wa Magufuri,kaja na hoja NSSF kwa wafanyakazi wa sekita binafisi tu,na PSSSF kwa wafanyakazi wa Uma tu!!

Nikirudi kwenye mada yangu kuhusu mafao yakujitoa,nasikitika sana kuona watanzania wenzangu wakipata shida kubwa kwenye kupata mafao yao!!

Nina mdogo wangu,ambaye naishi nae sasa kwa miaka miwili,tangu aachishwe kazi kwenye ofisi yao! Alipewa barua yakuachishwa kazi,akalipwa sitahiki zake zote!
Alipoenda NSSF kufungua mafao yake,aliambiwa asubiri hadi ipite miezi sita,dogo akasibiria kweli,miezi sita ikaisha,akarudi kufungua file la mafao yake 17.8.2017!
Baada ya hapo akapewa tena miezi mitatu arudi kucheki kama malipo yako tayari,dogo aliomba kurudi home kijijini,nikamwambia hapana,usiende komaa kwanza hapa town,unaweza pata walau kibarua....

Sasa hawa NSSF wamekua wanampiga calender kila siku,moja pesa yako tayari iko approved,tunasubiria tu wahasibu walipe! Kuna siku nilienda nae pale NSSF ubungo,watu walikua wengi,wengine wanalia,wengine wanaanguka hadi kuzimia,wengine wagonjwa!

Sasa nyie NSSF kama pesa zakuwalipa hazipo kwa nini msiwe wakweli tu,maana watu/mtu anapokua anapewa ahadi kwamba kuna pesa unapata,anafurahi but inapokuja anakosa,ana umia sana,tena sana tu!

Wito wangu kwa MD mpya bwana William Erio,haya mambo yanayofanyika unayajua fika kabisa,punguzeni uwekezaji kwenye miradi isiyoka na tija,lipeni watu mafao yao! Miradi kama NSSF Nyerere Bridge,mradi wa Kigamboni Ecco Village,ni moja ya miradi iliyokula pesa nyingi,ambazo zingetumika kuwalipa watu!!
 
Da!! NSSF ni shirika la kibabaishaji, nami i mhanga wa kunyimwa mafao. Nafikiria kufungua faili mahakamani kuhoji kwaninini silipwi mafao yangu niliyochangia nikiwa mfanyakazi kabla ya kutema kazi kujiajili.
 
Kinachokera ni jamaa wanamashuti marefu ya kalenda,yani unakuta mtu mwaka jana mwezi wa kumi namoja aliambiwa arudi mwaka huu mwezi wa tano, sasa jamaa anarudi gheto kinyonge anajibana mixer mibussines plan yakujitia moyo, sasa picha lakutisha nipale anaporudi mwezi wa tano kwa matumaini na kuishiakupigwa shuti jingine arudi mwezi watisa sijui kisa file lake lilisahaulika na nani kweli pasinahuruma unasogezwa miezi mi4 mbele, Somebody should do something kuhusu hilo, jamaa wanateseka sanaa kwa mtaa,
 
Kuna wengine hawataki kabisa kufungua file kwa ajili ya kupata mafao yako wakishaona unapesa zaidi ya Million 20 watakupiga calenda weeeewe, nina Ndugu yangu alienda pale Nssf ilala yeye kafukuzwa kazi tangu mwaka jana november lakini mpk leo hafungua file ingawa na kila kitu... Wanamwambia bado wanasubili taarifa kutoka kwa viongozi wa juu ili kuaza kufungua mafile... Daaah inauma sana
 
NSSF ni taasisi ya serikali yenye wajibu na majukumu yakukusanya nakupokea michango ya wafanyakazi kutoka sector binafisi, kama wote tujuavyo,ingawa huko nyuma kidogo kipindi cha Dr Ramadhan Dau,NSSF walikua wanapokea michango toka hata kwa watumishi wa UMA,hivyo ndivyo ilivyokua kwa mifuko mingine ya hifadhi kama GEPF,LAPF,PPF,PSPF!

Sasa hivi chini ya uongozi wa Magufuri,kaja na hoja NSSF kwa wafanyakazi wa sekita binafisi tu,na PSSSF kwa wafanyakazi wa Uma tu!!

Nikirudi kwenye mada yangu kuhusu mafao yakujitoa,nasikitika sana kuona watanzania wenzangu wakipata shida kubwa kwenye kupata mafao yao!!

Nina mdogo wangu,ambaye naishi nae sasa kwa miaka miwili,tangu aachishwe kazi kwenye ofisi yao! Alipewa barua yakuachishwa kazi,akalipwa sitahiki zake zote!
Alipoenda NSSF kufungua mafao yake,aliambiwa asubiri hadi ipite miezi sita,dogo akasibiria kweli,miezi sita ikaisha,akarudi kufungua file la mafao yake 17.8.2017!
Baada ya hapo akapewa tena miezi mitatu arudi kucheki kama malipo yako tayari,dogo aliomba kurudi home kijijini,nikamwambia hapana,usiende komaa kwanza hapa town,unaweza pata walau kibarua....

Sasa hawa NSSF wamekua wanampiga calender kila siku,moja pesa yako tayari iko approved,tunasubiria tu wahasibu walipe! Kuna siku nilienda nae pale NSSF ubungo,watu walikua wengi,wengine wanalia,wengine wanaanguka hadi kuzimia,wengine wagonjwa!

Sasa nyie NSSF kama pesa zakuwalipa hazipo kwa nini msiwe wakweli tu,maana watu/mtu anapokua anapewa ahadi kwamba kuna pesa unapata,anafurahi but inapokuja anakosa,ana umia sana,tena sana tu!

Wito wangu kwa MD mpya bwana William Erio,haya mambo yanayofanyika unayajua fika kabisa,punguzeni uwekezaji kwenye miradi isiyoka na tija,lipeni watu mafao yao! Miradi kama NSSF Nyerere Bridge,mradi wa Kigamboni Ecco Village,ni moja ya miradi iliyokula pesa nyingi,ambazo zingetumika kuwalipa watu!!

Labda nikuulize ni sheria ipi inasema kuna fao la kujitoa!?
Pili ni nini maana ya mifuko ya jamii kama ilivyoainishwa na ILO!?
Mbona hamuendi kudai kupewa makato ya PAYEE mnayokatwa kwa mwezi!?

Jifunze kujiwekea akiba ya uzeeni wakati huna uwezo wa kuzalisha
 
Hujui unachokiongea wewe . Ni vema ukakaa kimya . Zile ni pesa za hifadhi yake na siyo kodi.
 
Sheria inasemaje kuhusu hizo fedha za hifadhi ya jamii, inasema wanakuwekea ukikosa kazo kabla ya kustaafu ukachukue, eti hela zako!!!! Hela zako ni either 10% au 5% tu katka 20% ila serikali ikaona mwajiri nae aweke 10% au 15% ili zikufae ukistaafu
 
Akili zimejaa MAtope
 
Hujui unachokiongea wewe . Ni vema ukakaa kimya . Zile ni pesa za hifadhi yake na siyo kodi.
Mkuu kubali tu kuwa hakuna sheria inayosema mtu akiacha kazi achukue fedha zake, na nia ya serikali ni kuona unastaafu na kufaidi amana uliyokatwa pamoja na ile serikali iliyomlazimisha mwajiri akuwekee ili kwa pamoja ziende mifuko ya jamii,maana kama ni hela zako basi ni zile tu unazokatwa wewe na zile mwajiri anazokatwa si zako.
 
Sheria inasemaje kuhusu hizo fedha za hifadhi ya jamii, inasema wanakuwekea ukikosa kazo kabla ya kustaafu ukachukue, eti hela zako!!!! Hela zako ni either 10% au 5% tu katka 20% ila serikali ikaona mwajiri nae aweke 10% au 15% ili zikufae ukistaafu
Kwa uchanganuzi wako huu nashawishika kusema

"kuna tofauti kubwa sana kati ya kuhitimu chuo na kumaliza chuo......."
 
NSSF ni taasisi ya serikali yenye wajibu na majukumu yakukusanya nakupokea michango ya wafanyakazi kutoka sector binafisi, kama wote tujuavyo,ingawa huko nyuma kidogo kipindi cha Dr Ramadhan Dau,NSSF walikua wanapokea michango toka hata kwa watumishi wa UMA,hivyo ndivyo ilivyokua kwa mifuko mingine ya hifadhi kama GEPF,LAPF,PPF,PSPF!

Sasa hivi chini ya uongozi wa Magufuri,kaja na hoja NSSF kwa wafanyakazi wa sekita binafisi tu,na PSSSF kwa wafanyakazi wa Uma tu!!

Nikirudi kwenye mada yangu kuhusu mafao yakujitoa,nasikitika sana kuona watanzania wenzangu wakipata shida kubwa kwenye kupata mafao yao!!

Nina mdogo wangu,ambaye naishi nae sasa kwa miaka miwili,tangu aachishwe kazi kwenye ofisi yao! Alipewa barua yakuachishwa kazi,akalipwa sitahiki zake zote!
Alipoenda NSSF kufungua mafao yake,aliambiwa asubiri hadi ipite miezi sita,dogo akasibiria kweli,miezi sita ikaisha,akarudi kufungua file la mafao yake 17.8.2017!
Baada ya hapo akapewa tena miezi mitatu arudi kucheki kama malipo yako tayari,dogo aliomba kurudi home kijijini,nikamwambia hapana,usiende komaa kwanza hapa town,unaweza pata walau kibarua....

Sasa hawa NSSF wamekua wanampiga calender kila siku,moja pesa yako tayari iko approved,tunasubiria tu wahasibu walipe! Kuna siku nilienda nae pale NSSF ubungo,watu walikua wengi,wengine wanalia,wengine wanaanguka hadi kuzimia,wengine wagonjwa!

Sasa nyie NSSF kama pesa zakuwalipa hazipo kwa nini msiwe wakweli tu,maana watu/mtu anapokua anapewa ahadi kwamba kuna pesa unapata,anafurahi but inapokuja anakosa,ana umia sana,tena sana tu!

Wito wangu kwa MD mpya bwana William Erio,haya mambo yanayofanyika unayajua fika kabisa,punguzeni uwekezaji kwenye miradi isiyoka na tija,lipeni watu mafao yao! Miradi kama NSSF Nyerere Bridge,mradi wa Kigamboni Ecco Village,ni moja ya miradi iliyokula pesa nyingi,ambazo zingetumika kuwalipa watu!!
Kwa zaidi ya mwaka NSSF inashindwa kuwalipa kwa wakati wastaafu kutokana na ukata, ni wazi hayo mengine hayatekelezeki.
 
Tatizo sio nssf. Tatizo hizo pesa hazipo hela zote zipo hazina. Na ndio pesa zilizo nunulia ndege, kutengeneza reli.
 
Back
Top Bottom