MTAFUTAJIHALISI
Member
- Sep 23, 2011
- 15
- 1
kwanza uko wapi na kazi ya zamani ulikuwa unafanyia wapi
from there i can help
mkuu habari
takukuru mnaendeleaje?
Umeonaee
[/QUOTE]We naona hukuwahi kuacha kazi, Mpaka unapata cheque yako inachukua kuanzia miezi nane na kuendelea.Hiyo miezi sita inayotajwa ndio unaenda kujaza form za madai ya hela yako,then ndio unaanza kufuatilia,mara watakuambia zimepelekwa makao makuu,mara sijui zimeenda wapi, hapo kuna miezi tena sio chini ya miwili.Hii kitu inasumbua sana!
Parachichi;2691455]nssf niijuavyo huwa michango unaipata,huna hata haja ya kutangaza rushwa!uliwahi kufuatilia?walikuambiaje?
Naskia harufu ya rushwa hapa.
Hapo ni kuforge tu docs labda unaenda kusoma nje na unataka kulipa ada, au udanganye upate cheti hospitali unatakiwa ukatibiwe haraka kwa hela nyingi.Bila hivyo sahau ndugu yangu..sheria yao haiwaruhusu kukupa hiyo hela kabla ya hiyo miezi sita.