Ni jambo la kushangaza sana kuona jinsi wadau wa shirika hili wanavyoteseka wanapofuatilia mafao yao.Hivi majuzi nilistaafu kwa mujibu wa sheria lakini kufuatilia mafao yangu ni ishu kali mpaka uje kupata id card ni dillema.
Wamechapa majina tofauti,ukiwafuata rudi baada ya siku 14.
Hebu sikieni kilio chetu wana forum mtupe mbinu mbadala ili tupate jasho yetu.
hizo pesa ndo zinajenga maghorofa,subiria tu ndugu yangu watawakumbukeni maana mkishastaafu thamani yenu inashuka,ukifa kazini wanasema pengo lako halitazibika,wapi,
Wewe unasemaje ETI BORA NSSF tena huyu mbwa nssf sitaki hata kumsikia nimshenzi anatesa sana wanachama wake mi mwenye hadi waleo hawajanilipa changu.subiri miezi sita baada ya hapo nendarudi nenda rundi mpk kiatu kinaisha