concrete15
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 882
- 323
Hivi hawa NSSF Moshi mbona wanaforce mtu kutoa rushwa kama mtu alitoa michango yake kwanini msimpe kama kafuata taratibu zote.
Sasa mimi ntatumia TAKUKURU, haiwezekani mnizungushe miezi yote wakati hakuna kitu kipya mnachohitaji kutoka kwangu sasa dawa yenu iko jikoni.
Wadau embu nipeni utaratibu jinsi ya kutega kupitia TAKUKURU au na wao watanigeuka.