Yaani Fao la kujitoa wamelipora na kulipeleka Hazina......Leo watu wameachishwa kazi kutokana na mazingira magumu ya wao kuendelea kuajiri, watu wanahitaji pesa zao ili waweze kufanya ustaarabu mwingine lakini mpo kimya na hela zao. Wapeni pesa zao jamani wakafungue hata vibanda vya mihogo.
Duh! Nipo najamaa zangu kampuni yetu iliisha fungwa sasa tukapanga tuchukue pesa tukafanye kilimo. Tumekanyaga nssf hadi sori zimeisha tunaambiwa bado file halijafunguliwaKi ukweli nafurahia sana nikiona watu wengi tunaumizwa na maamuzi ya ,nadhani tushaanza kuelewana na kuongea rugha moja.2020 vote kwa lissu.
Duh! Nipo najamaa zangu kampuni yetu iliisha fungwa sasa tukapanga tuchukue pesa tukafanye kilimo. Tumekanyaga nssf hadi sori zimeisha tunaambiwa bado file halijafunguliwaYaani Fao la kujitoa wamelipora na kulipeleka Hazina......
Yaani hii nchi inakoelekea ni kubaya sana.....