NSSF kufanya kazi 08:30am - 01:00pm ni sawa?? Kwako Hon Angel

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Nimejaribu sanakuwaza mh Angel. K

Hawa NSSF KWA NINI WANALIPWA MISHAHARA MIKUBWA WAKATI MDA WA KAZI SIO SAWA NA WANAVYOTAKIWA SERIKALINI

UKIENDA SAMBILI WANAKUSUBIRISHA NJE MPAKA MBILI NA NUSU

UKIENDA SAA SABA NA DK TANO WANAKWAMBIA TUMESHAFUNGA OFISI INGAWA WALIONDAN WANAMALIZIWA KUHUDUMIWA

SWALI LANGU IWEJE HAWA WANAOINGIA SAA MBILI ASBH MPAKA SAKUMI JIONI MNAWALIPA ESA ZA AIBU

HAWA WANATUMIA MASAA MANNE NANUSU KUKAA OFISINI MNAWALIPA MAMILIONI

LENGO LANGU SIBAYA KWANINII NSSF MSIONGEZE MDA WA WAFANYAKAZI KUJA KUHUDUMIWA

MH AK TUNAOMBA MSAADA WA HILI....
 
Weka viwango vya mishahara yao kwanza alafu tutilie maneno yetu ya baraka au laana
 
MH ANGELA LIANGALIE HILII

MMESHATUMIA SANA HELA ZETU NA MIRADI YA SERKL BASI WAAMBIE HAOJAMAA WAFUNGE SAA TISA NANUSU KAZINI.... YAAN NA WENGINE UNAKUTA NYUMBAN WANAJULIKANA WANATOKA SAA KUMINAMOJA MNAIPA SHETANI NAFASI YA UZINZI MTU AKIWA FREE ANAWAZA AKAFANYE NN NASIKUHIZI KINACHOENDELEA HUKO MAKAZINI MUNGU TU ANAWAONA
 
Wanapofunga mapema haimaaanshwa kwamba ndio wanaondoka bali wanatumia muda uliobaki kufanya kazi zingine za mahesabu na viporo vlvyobak paka sa10 na nusu hii inamaansha kazi zilizopo n nying sana kuliko znazo soviwa katika siku usika
 
Unamaanisha hata mapokezi wanafunga mahesabu au vitengo vyote vinafunga mahesabu?je ni wote wanakuja kufuata huduma ya nahesabu?Tafakari!!
 
Braaumewahiii maanaa nilichotaa kuandika MUNGU ANANIONA..... JAMAA ANAAMINI NSSF WANAAHSABU MENGI KULIKO PPF
 
Nimejaribu sanakuwaza mh Angel. K

Hawa NSSF KWA NINI WANALIPWA MISHAHARA MIKUBWA WAKATI MDA WA KAZI SIO SAWA NA WANAVYOTAKIWA SERIKALINI

UKIENDA SAMBILI WANAKUSUBIRISHA NJE MPAKA MBILI NA NUSU

UKIENDA SAA SABA NA DK TANO WANAKWAMBIA TUMESHAFUNGA OFISI INGAWA WALIONDAN WANAMALIZIWA KUHUDUMIWA

SWALI LANGU IWEJE HAWA WANAOINGIA SAA MBILI ASBH MPAKA SAKUMI JIONI MNAWALIPA ESA ZA AIBU

HAWA WANATUMIA MASAA MANNE NANUSU KUKAA OFISINI MNAWALIPA MAMILIONI

LENGO LANGU SIBAYA KWANINII NSSF MSIONGEZE MDA WA WAFANYAKAZI KUJA KUHUDUMIWA

MH AK TUNAOMBA MSAADA WA HILI....
nishasemaga hili fuko la wapuuzi sana... wananyodo hatari.... https://jamii.app/JFUserGuide nssf... siipendi kabisa. walinitesa sana na kamafao kangubnilivoachishwa kazi... bullshit nssf
 
Wanapofunga mapema haimaaanshwa kwamba ndio wanaondoka bali wanatumia muda uliobaki kufanya kazi zingine za mahesabu na viporo vlvyobak paka sa10 na nusu hii inamaansha kazi zilizopo n nying sana kuliko znazo soviwa katika siku usika
mbona ppf ukienda mda wowote unahudumiwa??? au wao hawana kazi nyingi? Nssf kuna umangi meza sana pumbaf hawa
 
Wanapofunga mapema haimaaanshwa kwamba ndio wanaondoka bali wanatumia muda uliobaki kufanya kazi zingine za mahesabu na viporo vlvyobak paka sa10 na nusu hii inamaansha kazi zilizopo n nying sana kuliko znazo soviwa katika siku usika
Mahesabu yapi?ikiwa benki tu ambazo zinafanya transaction kuanzia saa tatu still wanahudumia hadi saa tisa au kumi iweje nssf?
 
Back
Top Bottom