NRM UGANDA kama CHADEMA, CCM mmebaki wapi?

Kaguta

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
414
Reaction score
504
th

Amama Mbabazi

Wiki hii chama tawala nchini Uganda kimemvua ukatibu mkuu Bw Amama Mbabazi kwa kosa la kuanza kampieni za urais kabla ya wakati. Mbabazi mwenye miaka 65 pia ni waziri mkuu wa serikali ya Mseveni anatuhumiwa kumtumia mke wake kuzunguka nchi nzima kumchafua Mseveni na kupigia debe mme wake. Katika mkutano wa wabunge wa chama hicho uliofanyika Ikulu Kololo mjini Kampala kwa kauli moja wamemvua uongozi na hatua za kumvua uanachama zikitarajiwa kufuata.

My take: Kwa upande wa Ccm tuliotangaziwa wamewekwa chini ya uangalizi wa mwaka mmoja wanagombea uenyekiti wa bunge la Katiba! Kama chama kichanga kama Chadema wanachukua hatua kwa kiongozi kama ZZK inauwaje kwa chama kikongwe? Hata NRM ni chama cha juzi tu, maana kmebadilika mwaka 2002 kutoka Vuguvugu la ukombozi yaani chama cha waasi wakati huo hadi kuwa chama cha siasa.
 
Kwani NRM ni chama cha siasa? Acha upunguani wewe. Unakumbuka mara ya mwisho wamefanya uchaguzi lini? Unajua pia ni tangu lini Museveni amekuwa kiongozi wa NRM
 
Mkuu, kuna watu humu wanachekesha sana. Wanailinganisha CCM na miozo yao. CCM ni chama cha siasa hivyo huwezi kufananisha na SACCOS ya akina Mbowe au Kikundi cha Kijeshi, NRM ya Museveni
 
th

Amama
Mbabazi

Wiki hii chama tawala nchini Uganda kimemvua ukatibu mkuu Bw Amama
Mbabazi kwa kosa la kuanza kampieni za urais kabla ya wakati. Mbabazi
mwenye miaka 65 pia ni waziri mkuu wa serikali ya Mseveni anatuhumiwa
kumtumia mke wake kuzunguka nchi nzima kumchafua Mseveni na kupigia debe
mme wake. Katika mkutano wa wabunge wa chama hicho uliofanyika Ikulu
Kololo mjini Kampala kwa kauli moja wamemvua uongozi na hatua za kumvua
uanachama zikitarajiwa kufuata.

My take: Kwa upande wa Ccm tuliotangaziwa wamewekwa chini ya uangalizi
wa mwaka mmoja wanagombea uenyekiti wa bunge la Katiba! Kama chama
kichanga kama Chadema wanachukua hatua kwa kiongozi kama ZZK inauwaje
kwa chama kikongwe? Hata NRM ni chama cha juzi tu, maana kmebadilika
mwaka 2002 kutoka Vuguvugu la ukombozi yaani chama cha waasi wakati huo
hadi kuwa chama cha siasa.

Pole mkuu,Kama ulikuwa na imani kuwa siku moja ccm wana weza kusimamia uadilifu kwa vitendo umebugi!

Wenzio wakiona unawatinga sana wanawasiliana na izirael fasta unapotea
 
Mkuu, kuna watu humu
wanachekesha sana. Wanailinganisha CCM na miozo yao. CCM ni chama cha
siasa hivyo huwezi kufananisha na SACCOS ya akina Mbowe au Kikundi cha
Kijeshi, NRM ya Museveni

Swali kwako mkuu Hivi chama cha siasa cha kidemokrasia kwanini kina wa Kolimba watu wanao tofautiana nacho?
 
NRM ni chama kinacho ongozwa na Dikteta Museveni na Chadema inaongozwa na Dikteta Mbowe!
Hapo ni kweli vipo sawa
 
ni kweli kabisa NRM ni kama chadema, mwenyekiti wao bwana MSEVENI ni kama Mbowe, wote ving'ang'anizi hawataki kuitisha uchaguzi na kuachia vijiti wengine, wote hawana ukomo katika nyadhifa zao! Asante sana kwa kuleta ufananisho makini ndugu mtoa mada
 
Ahsante sana Mkuu. Nadhani jibu hilo limemtosheleza
 
th

Amama Mbabazi

Wiki hii chama tawala nchini Uganda kimemvua ukatibu mkuu Bw Amama Mbabazi kwa kosa la kuanza kampieni za urais kabla ya wakati. Mbabazi mwenye miaka 65 pia ni waziri mkuu wa serikali ya Mseveni anatuhumiwa kumtumia mke wake kuzunguka nchi nzima kumchafua Mseveni na kupigia debe mme wake. Katika mkutano wa wabunge wa chama hicho uliofanyika Ikulu Kololo mjini Kampala kwa kauli moja wamemvua uongozi na hatua za kumvua uanachama zikitarajiwa kufuata.

My take: Kwa upande wa Ccm tuliotangaziwa wamewekwa chini ya uangalizi wa mwaka mmoja wanagombea uenyekiti wa bunge la Katiba! Kama chama kichanga kama Chadema wanachukua hatua kwa kiongozi kama ZZK inauwaje kwa chama kikongwe? Hata NRM ni chama cha juzi tu, maana kmebadilika mwaka 2002 kutoka Vuguvugu la ukombozi yaani chama cha waasi wakati huo hadi kuwa chama cha siasa.

CCM wanaogopa kivuli chao; wote ni waovu wa namna moja au nyingine; nani ana moral authority ya kumkemea au kumvua uongozi mwenzie; angalia kampeni ya kujivua gamba ilizinduliwa na mwenyekiti wa CCM mwenyewe; from the highest level! akaidaka praise singer wao Nape; nini kilifuata? dead and buried.
Kama ni kuiba kura wote wanahusika; kama ni kununua uongozi kwa rushwa wote wanahusika, kama ni tamaa ya uongozi wote ni wale wale, kama ni ufisadi wote wamo kwenye mtumbwi huo huo; sasa ni panya yupi amfunge paka kengele shingoni? wanaogopana na kulindana kwa sababu kila mmoja wao anajua maovu ya mwenzie.
 
NRM ni chama kinacho ongozwa na Dikteta Museveni na Chadema inaongozwa na Dikteta Mbowe!
Hapo ni kweli vipo sawa

Expression of fanaticism sentiments; You know the words BUT you miss their meaning! BS
 
hivi Mseven atachia madaraka lini. au ndiyo kuridhishana
 
ni kweli kabisa NRM ni kama chadema, mwenyekiti wao bwana MSEVENI ni kama Mbowe, wote ving'ang'anizi hawataki kuitisha uchaguzi na kuachia vijiti wengine, wote hawana ukomo katika nyadhifa zao! Asante sana kwa kuleta ufananisho makini ndugu mtoa mada

Watu waanzishe chama chao; wakijenge mpaka kiwe tishio kwa chama tawala halafu umuachie muuza migebuka eti kwa kisingizio cha Demokrasia; what is democracy afterall! unacheza wewe; anzisheni chenu mbadilishane uongozi kama mashati tuone mtafika wapi! au kajiungeni na chama chake huyo muuza migebuka ACT. tuachieni CDM yetu na "dikteta" wetu; tumeridhika. hakuna ku-copy na Ku-paste democrasia wewe!
 
kk
th

Amama Mbabazi

Wiki hii chama tawala nchini Uganda kimemvua ukatibu mkuu Bw Amama Mbabazi kwa kosa la kuanza kampieni za urais kabla ya wakati. Mbabazi mwenye miaka 65 pia ni waziri mkuu wa serikali ya Mseveni anatuhumiwa kumtumia mke wake kuzunguka nchi nzima kumchafua Mseveni na kupigia debe mme wake. Katika mkutano wa wabunge wa chama hicho uliofanyika Ikulu Kololo mjini Kampala kwa kauli moja wamemvua uongozi na hatua za kumvua uanachama zikitarajiwa kufuata.

My take: Kwa upande wa Ccm tuliotangaziwa wamewekwa chini ya uangalizi wa mwaka mmoja wanagombea uenyekiti wa bunge la Katiba! Kama chama kichanga kama Chadema wanachukua hatua kwa kiongozi kama ZZK inauwaje kwa chama kikongwe? Hata NRM ni chama cha juzi tu, maana kmebadilika mwaka 2002 kutoka Vuguvugu la ukombozi yaani chama cha waasi wakati huo hadi kuwa chama cha siasa.
hivi na ile saccos ya mtei nayo niyakutolewa mfano? ajabu hii.
 
Santee kwa kutufahamisha kwamba vyama hivyo vinafanana(..)
Nalog off
 
ccm wengi naona wanamdharau Museveni na chama chake ambao ndio wamepitisha sheria za kupinga ushoga. AU CCM USHOGA ULIVOZUILIWA NA MUSEVENI IMEWACHOMA SANA?MLITAKA AUHALALISHE?
 
ccm wengi naona wanamdharau museveni na chama chake ambao ndio wamepitisha sheria za kupinga ushoga. Au ccm ushoga ulivozuiliwa na museveni imewachoma sana?mlitaka auhalalishe?

kwani amefukuzwa kwa sababu ya ushoga?? Amefukuzwa kwa sababu alikuwa anataka kumpiku mseven, kama
ilivyo kwa mboye na zitto
 
ni kweli kabisa NRM ni kama chadema, mwenyekiti wao bwana MSEVENI ni kama Mbowe, wote ving'ang'anizi hawataki kuitisha uchaguzi na kuachia vijiti wengine, wote hawana ukomo katika nyadhifa zao! Asante sana kwa kuleta ufananisho makini ndugu mtoa mada

Wewe ni gamba sasa uongozi na mambo ya CDM vinakuhusuje? Unahangaika tu,livue hilo gamba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom