Funguka vizuri mkuu gari yako ni engine gani??
Mm ninazo set nzima 4 niza engine ya 1nz kwani familia ya Z spea za engine nyingi za umeme zinaingiliana mkuu ww sewma engine yako ni aina gani ili usaidiwe .mm nipo dar nitafute hata bure nitakupa kwa heshima ya jf