Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 63,026 Reaction score 77,371 Jun 18, 2014 #2 Kweli kabisa yaani ukiwa mlemavu inakuwa kama vile umejitakia bila kujua ni Mungu pekee ndiyo anajua kesho na hata leo yetu.
Kweli kabisa yaani ukiwa mlemavu inakuwa kama vile umejitakia bila kujua ni Mungu pekee ndiyo anajua kesho na hata leo yetu.
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Jun 18, 2014 #3 Ni kweli mkuu nyoni lote hilo linajazana kwa escalators wakati kuna ngazi tupu ambayo ni mazoezi tosha na ni kiasi cha kujitolea wanaume wawili au watatu kumsaidia mlemavu apande kwa nyenzo wao waje huku kwa ngazi
Ni kweli mkuu nyoni lote hilo linajazana kwa escalators wakati kuna ngazi tupu ambayo ni mazoezi tosha na ni kiasi cha kujitolea wanaume wawili au watatu kumsaidia mlemavu apande kwa nyenzo wao waje huku kwa ngazi