Now Rwanda govt, banks to seize Rwigara properties

Now Rwanda govt, banks to seize Rwigara properties

Siasa za Kiafrika ngumu sana,huyu binti kaieletea Tsunami familia yake kwa ''utoto'' wake
KOSA LA MTOTO??
ungeuliza Baba yao alifanyweje na Kagame
tafuta chanzo
huyo Binti ni jasiri licha ya kuwekwa photo shop AKIWA UCHI kwenye magazeti na mitandao ili asigombee lakini alipata washabiki lukuki
 
Huwa sielewi kwanini Kagame anawadhulumu hivi watu wasio na influence yoyote??? So sad
 
Kagame ananikera anavyomsumbua huyu mrembo..!
Kapuuzi sana haka kajamaa.
 
Madikteta wa kiafrika bana tabu tupu si mshindane kwa hoja tu yaan wanapenda kutisha watu ili waogopwe [emoji57][emoji57][emoji57]
 
For Kagame's regime to do this, he must be very petty. I now know he is a kind of man who would fire bullets at a fly.
 
KOSA LA MTOTO??
ungeuliza Baba yao alifanyweje na Kagame
tafuta chanzo
huyo Binti ni jasiri licha ya kuwekwa photo shop AKIWA UCHI kwenye magazeti na mitandao ili asigombee lakini alipata washabiki lukuki
Kagame yatakuja kujirudia ya mapinduzi watamuondoa ipo siku
 
Back
Top Bottom